Hivi nyinyi wadada mnaopost picha mkiwa viwanja mnakula bata na mitoko ya gharama hizo picha huwa mnapigwa na akina nani?

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Tukizungumzia hasa mitoko ya dating.

Inafahamika wengi wenu huwa mnapigwa foto na washikaji zenu ila cha ajabu huwa hamuwapost, mnajipost wenyewe tu.

Jiulize kwa nini mwanamke hampost mwanaume wake hata kama kuna picha ya pamoja walipiga wakiwa dating?

Hapa ndio ujue wanawake ni matapeli anapopost a sex pic uliyompiga ujue anatafuta attention ya wanaume wengine.

Picha uliyompiga akiwa kwenye pozi la kuvutia inafanya atongozwe na wanaume wengine DM na atawajibu yuko single.

Mwanamke anamtumia SIMP as a camera man kwa ajili ya future dating na washikaji wengine.

Unaishia kumtoa outing, pay for the date na kuwa camera man wake na picha anayopost au video hakuna caption yoyote akitambua uwepo wako siku hiyo.

Zaidi ni wewe fara unamsaidia awe na future possible dates na mwanaume au wanaume wengine.

Mwanaume usikubali kutumika kiboya kama camera man wa malaya.

Learn Or perish

​
 
Kama kwel una enjoy bata ile for real kabisaaaaaa no faking...no bahati mbayaz...na bata za kuzamia au bata za ngekewa,,,,yan zile bata ambazo ni kawaida yako na kwa pesa isio ya mawazo, HUWEZI PATA MUDA MCHAFU WA KUPIGA PIGA MAPICHA UJE KU POST.
Othwerwise ,huwa ni bata za kuunga unga ndio huambatana na mapocha kibao ili mtu aje ku post.
NB
Nisamehewe 🤣
 
A SIMP camera man detected

You can't be on her socials because she's still searching for a better deal

Learn or perish
​
 
Kwender bwana weeh.!! Sio wote wanatolewa out na hao wanaume acha kukariri..!

Tusifurahi sasa kisa nitaonekana nimetoka na mwanaume?!!!

Halafu hata wakitoka na wanaume si ni makubaliano yao, kwahiyo wewe unataka na sura lako liwepo hata km la Tafadhali nipigie? 😹😹😹
 
Mmeona wanangu baadhi ya kauli za wanawake kwa nini hawapost washikaji zao wanaowatoa dating

Soma hiyo paragraph ya mwisho between the lines. Usikute ni sababu ya manzi wako pia kukutumia tu kama mpiga picha wake for her future dating na mwanaume mwingine
​
 
Kama kwel una enjoy bata ile for real kabisaaaaaa no faking...no bahati mbayaz...na bata za kuzamia au bata za ngekewa,,,,yan zile bata ambazo ni kawaida yako na kwa pesa isio ya mawazo, HUWEZI PATA MUDA MCHAFU WA KUPIGA PIGA MAPICHA UJE KU POST.
Othwerwise ,huwa ni bata za kuunga unga ndio huambatana na mapocha kibao ili mtu aje ku post.
NB
Nisamehewe 🤣
Oya boss vipi wife wahuni hawajamuweka ndani?
 
Kama kwel una enjoy bata ile for real kabisaaaaaa no faking...no bahati mbayaz...na bata za kuzamia au bata za ngekewa,,,,yan zile bata ambazo ni kawaida yako na kwa pesa isio ya mawazo, HUWEZI PATA MUDA MCHAFU WA KUPIGA PIGA MAPICHA UJE KU POST.
Othwerwise ,huwa ni bata za kuunga unga ndio huambatana na mapocha kibao ili mtu aje ku post.
NB
Nisamehewe 🤣
Wewe ni boya
 
Halafu sasa ukiona picha ni nzuri ujue zimepigwa na mhudumu au rafiki na huo ni mtoko wa marafiki.

Hakuna mwanaume anayejitambua umsumbue na picha zako wengi hukataa.
Eti mtoko wa marafiki? Yaani wanawake mbebane mwende mtoko wa kirafiki viwanja kula bata ni mara chache sana

Halafu tofauti ya mitoko ya kishosti na dating huwa inajulikana tu kwenye socials
​
 
Back
Top Bottom