Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Yeah!!!Inasemekana mwanamke akiachwa muda huu anajua ni nani atakuwa nae kwenye mahusiano muda huo huo.
Anakua na majamaa mengi yapo waiting list.
Ukizingua tu ana mu activate boya mwingine & life goes on.
Unakuta demu ulilifukuzia siku nyingi kweli likawa linapiga chenga siku hiyo linakupigia simu ulitoe out, ukishalitoa out unakuta kila kitu kinaenda kiulainiii mpaka unashangaa.