Hivi nyinyi wadada mnaopost picha mkiwa viwanja mnakula bata na mitoko ya gharama hizo picha huwa mnapigwa na akina nani?

Hivi nyinyi wadada mnaopost picha mkiwa viwanja mnakula bata na mitoko ya gharama hizo picha huwa mnapigwa na akina nani?

Wanaume wa siku hizi mnajikuta nyie ndio the 'prize' nacheka kichizi. In rhetoric ukiangalia kuna chembe chembe za homosexuality. Ukiona kitu unakipinga kwa juhudi nyingi, ndio hicho hicho ulicho, na unajichukia kwasababu hiyo
Wanawake wachunaji na malaya huwa sikuzote hawawapendi mascular men wasioweza kuwacontrol kama SIMPS​
 
Mwanamke mchunaji anaangalia uzito wa pochi hayo ya controo sijui simpu unajua wewe, ilimradi akaunti inasoma sifuri za kutosha mzee akiyumba na yeye anayumba nae wanaenda sambamba
Hiyo ni lifestyle ya mwanamke yoyote malaya na mvivu

As long as you're lazy to work for your own money, men will eat you for you to eat
​
 
Kwani wenyewe wamelalamika? Kila mtu amepata anachotafuta, it's just a transaction honey
Wanawake wanaotumika na wanaume wengi kupigwa pipe huwa wanatumiwa kama sex object wanadhalilishwa na kufanyiwa matendo machafu kingono kama anal

Hii imewapelekea wengi kutojiheshimu, emotional trauma, depressions, kuingia kwenye drugs, ulevi n.k

Usidhani kuna mwanamke anayependa kutumiwa ovyoovyo na wanaume hata malaya mwenyewe anachukia hiyo hali
 
Kumbe, asante kwa taarifa
 
Yeah!!!
Anakua na majamaa mengi yapo waiting list.

Ukizingua tu ana mu activate boya mwingine & life goes on.
Utakuta mwanamke kwenye circle yake kawapanga wanaume zaidi ya 5

Halafu kuna boya mmoja kati yao anajisifu yule demu wangu mimi pale nahudumia

Jamii imejaa wanaume wapumbavu sana miaka hii, kweli unajisifu kuhudumuia malaya? Inashangaza sana!
​
 
Ndio maana mwanamke akiwa nyumbani na mwanaume wake hajirembi wala havai vizuri, ila akiwa anatoka anajiremba na kuvaa nguo nzuri ili wanaume wengine wamuone!
Na ukiona mwanamke mpo kwenye mahusiano ameanza kujipamba sana na hata ameanza kubadili dress code, manukato, hairstyle kaa kitaalamu

Katika visa fulani kashapata mwingine anapambana amvutie au yuko katika mchakato inaweza ikawa ni red flag

Everything she does is for the validation of another man
​
 
Back
Top Bottom