Hivi Nyuki kama hawa wanakuwa wametumwa au ni nini?

Hivi Nyuki kama hawa wanakuwa wametumwa au ni nini?

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
418
Reaction score
550
Sio kawaida kwa lundo la nyuki kutua kwenye biashara ya mtu kama hivi au ndo wakutumwa ili tutishane wazee

1758777368141.png
 
Usitupangie hayo ni mawazo yake binafsi
Ulifanya vizuri sana kujiita Upupu

Hii ni issue ni ya kitaalamu sio issue ya kupiga ramli wala kubahatisha,
Bila shaka ulitaka upewe jibu kua hao Nyuki wametumwa kisa tu eti unauza Sabuni!! hilo jibu nadahani lingekufurahisha zaidi coz akili yako umeshailisha na kuipeleka kwenye ushirikina
 
Hii kali. Kabla picha haijafunguka nikajua unauza juice. Lakini kumbe ni kwenye sabuni😆😆
Piga maombi aisee
 
Back
Top Bottom