Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 25, 2025 #41 Pole na hatari sana... Cc: Mahondaw
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,296 Sep 26, 2025 #42 Kuna jamaa huku kwetu aliwah kuhamisha biashara yake ya majeneza kwasababu ya nyuki Nyuki walikuwa wanaingia kwenye majeneza afu walikuwa wakali kweli Alipoenda kwa mtaalam wake akaambiwa ahamishe hyo biashara kuna watu hawatak kumuona akifanya kwenye maeneo hayo
Kuna jamaa huku kwetu aliwah kuhamisha biashara yake ya majeneza kwasababu ya nyuki Nyuki walikuwa wanaingia kwenye majeneza afu walikuwa wakali kweli Alipoenda kwa mtaalam wake akaambiwa ahamishe hyo biashara kuna watu hawatak kumuona akifanya kwenye maeneo hayo
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,860 Reaction score 12,071 Sep 26, 2025 #43 upupu255 said: Sio kawaida kwa lundo la nyuki kutua kwenye biashara ya mtu kama hivi au ndo wakutumwa ili tutishane wazee View attachment 3478561 Click to expand... Tusikimbilie imani potofu na nguvu za Giza! Ila kama kuna mtu kawatuma, tafadhali aje aokoe WADANGANYIKA!
upupu255 said: Sio kawaida kwa lundo la nyuki kutua kwenye biashara ya mtu kama hivi au ndo wakutumwa ili tutishane wazee View attachment 3478561 Click to expand... Tusikimbilie imani potofu na nguvu za Giza! Ila kama kuna mtu kawatuma, tafadhali aje aokoe WADANGANYIKA!
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,508 Reaction score 10,086 Sep 26, 2025 #44 Kama upo kati ya miji hii, Maranyingi huwa inatokea. Njombe? Mbeya? Mafinga?
upupu255 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2024 Posts 418 Reaction score 550 Sep 26, 2025 Thread starter #45 Ibn Unuq said: Kama upo kati ya miji hii, Maranyingi huwa inatokea. Njombe? Mbeya? Mafinga? Click to expand... Hii kwenye miti ni kawaida
Ibn Unuq said: Kama upo kati ya miji hii, Maranyingi huwa inatokea. Njombe? Mbeya? Mafinga? Click to expand... Hii kwenye miti ni kawaida
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,488 Reaction score 20,051 Sep 27, 2025 #46 Kuna utajiri wa nyuki pia lakini
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Sep 27, 2025 #47 Sabuni zinatengenezwa na manukato mbalimbali na kemikali ambazo ni rahisi sana kuwavutia nyuki .