Hivi Nyuki kama hawa wanakuwa wametumwa au ni nini?

Hivi Nyuki kama hawa wanakuwa wametumwa au ni nini?

Ulifanya vizuri sana kujiita Upupu

Hii ni issue ni ya kitaalamu sio issue ya kupiga ramli wala kubahatisha,
Bila shaka ulitaka upewe jibu kua hao Nyuki wametumwa kisa tu eti unauza Sabuni!! hilo jibu nadahani lingekufurahisha zaidi coz akili yako umeshailisha na kuipeleka kwenye ushirikina
Sasa usilimit wengine, kila mmoja anashea uzoefu wake, unachokiamini wewe si kwamba kinaaminiwa na kila mtu
 
Maeneo mengine bila kuwafukuza hawatoki wanakuwa ndo kwanza wameanzisha makazi
Hivi unawafukuzaje nyuki?!
Tupeane mataifa maana mimi ninavyowajua nyuki hapo ukiwachokoza watatawanyika soko zima wakidunga sindano zao kwa kila mtu wanayekutana nae.
Tupe utaalamu wa namna ya kuwaondoa sehemu kama hiyo bila kuleta madhara!
 
chukua dawa ya mbu ichome ukipta ile y kimashine Cha umeme ni mzuri zaidi itawakera wataondoka hapo mapema..... usije ukjichanganya kuwavuruga utalia milio
 
Hiyo ni ishara nzuri.

Umetembelewa na ancestors hapo ungekuwa mtu wa Mila ungefanya jambo, au rudi nyumbani ukapate mambo. Ndio maana Kuna meza nyingi ila wamechagua yako tu. Jiulize kwanini.

Ila kama hauna pigo hizo na sio mtu wa imani basi hapo wameweka kituo tu, wafurushe waondoke.
 

Attachments

  • IMG-20250601-WA0002.jpg
    IMG-20250601-WA0002.jpg
    110.1 KB · Views: 23
  • IMG-20250601-WA0004.jpg
    IMG-20250601-WA0004.jpg
    63.3 KB · Views: 20
Inaisaidia nn taifa?
ANGAZO.

IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY)

Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee.

Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba)
Dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile:

1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti na miguu.
2.Inaongeza nguvu ( Energy) za mwili.
3.Inatibu maradhi ya kifua aina zote.
4.Inaondoa gesi tumboni na kulainisha choo.
5.Inayeyusha mafuta tumboni na kuzuia kitambi.
6.Inakinga na kutibu maradhi ya moyo yanayosababishwa na wingi wa mafuta mwilini .
7.Inasafisha mapafu .
8.Inaondoa sumu, kemikali, uchafu na takataka mbalimbali zilizopo ndani ya mishipa ya damu kwa njia ya haja kubwa.
9.Inatibu tatizo la mwili kupata ganzi na kunyoosha mishipa ya uzazi iliyosinyaa kwa jinsia zote.
10.Inazibua mirija ya uzazi.
11. Inatibu tatizo la kukosa hisia za kijinsia.
12. Inatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kijinsia.
13. Inakomaza mbegu za uzazi.
14. Inatibu minyoo na vidonda vya tumbo.
15. Inatibu taifodi, malaria na U. T. I.
16. Inatibu ngiri, chango la uzazi na kudhoofisha tezi dume.


Dawa hii inatengenezwa na
AL -ILAAJU HEBAL AND SPIRITUAL HEALING CENTER - waliopo Pongwe Tanga Tanzania.

Na kusambazwa na Abuu Ibraahiym Sibomana.
anayepatikana Pasua Moshi Tanzania.

Kwa mahitaji ya dawa hii piga simu .
+255 717 445 411
+255 747 043 344.

KARIBUNI SANA.
 
Back
Top Bottom