Hivi Nyuki kama hawa wanakuwa wametumwa au ni nini?

Usitupangie hayo ni mawazo yake binafsi
Ulifanya vizuri sana kujiita Upupu

Hii ni issue ni ya kitaalamu sio issue ya kupiga ramli wala kubahatisha,
Bila shaka ulitaka upewe jibu kua hao Nyuki wametumwa kisa tu eti unauza Sabuni!! hilo jibu nadahani lingekufurahisha zaidi coz akili yako umeshailisha na kuipeleka kwenye ushirikina
 
Upo na free mind sana๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š
JF ni sehemu yangu ya kutuliza kichwa n kama Instagram navyoitumia n kwa ajili ya kutuliza akili tuu, siwezi kuumiza kichwa ety niwe serious hvy
 
Hii kali. Kabla picha haijafunguka nikajua unauza juice. Lakini kumbe ni kwenye sabuni๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Piga maombi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ