Hivi Padri mtuhumiwa wa ubakaji na yeye ana Wakili?

Sawa. Ila mara nyingi haki hupindishwa huko mnakoita mahakamani.
Basi chukua gun ukamuue mwenyewe kama hutaki mahakama. Nawe ukishaua wasikupeleke mahakamani wakuue ukouko mtaani maana unataka lifestyle ya Colombia
 
Basi chukua gun ukamuue mwenyewe kama hutaki mahakama. Nawe ukishaua wasikupeleke mahakamani wakuue ukouko mtaani maana unataka lifestyle ya Colombia
Mbona kama umepanick?.hapa ni jukwaa huru kila mtu ana maoni yake kama yangu hujayapenda unapita kushoto. Maneno yangu mimi sio kwamba yatabadili utaratibu uliopo so relaax kesi inaendeshwa kama unavyotaka. Ila adhabu kali itolewe sehemu salama kwa watt na jamii ilikua ni kanisani na misikitini ila kwa sasa ni kama imani inaenda kupotea.
 
Mazegwe kwenye hizi huduma kweli yapo.

Kuna mdau hapo kasema wanaume tuwe makini sana na watoto wa kike, hasa below 18 itasaidia kukuondolea kadhia maishani.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Mazegwe kwenye hizi huduma kweli yapo.

Kuna mdau hapo kasema wanaume tuwe makini sana na watoto wa kike, hasa below 18 itasaidia kukuondolea kadhia maishani.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Hivi umesikiliza maelezo ya mtoto kuwa aliambiwa afunue sketi jamaa kaweka ametulia tu?

Eti alipofika nyumbani akamsimulia mama kuwa Padri amemfanya mambo ya wakubwa? Kikawaida tu?
Wala halii?
Hakupiga kelele za msaada?
Hakukabwa?
Hiki kizazi kimeoza
 
Kimsingi kila mtu ana haki ya kuwa na wakili kwa sababu kila mtu ana haki ya kikatiba ya kuchukuliwa kuwa hana hatia mpaka pale itakapothibitishwa na mahakama kwamba ana hatia.

Sasa, mtu kutuhumiwa ubakaji si lazima awe mbakaji kweli, ndiyo maana anaitwa mtuhumiwa. Inawezekana amesingiziwa.

Tunampa mtuhumiwa ubakaji nafasi ya kuwa na wakili ili ahukumiwe kwa haki, akiwa na utetezi unaotakiwa kisheria.

Ukiwa na mbakaji -tuseme huyu ni mtuhumiwa wa ubakaji ambaye kabaka kweli-, halafu huyo mbakaji akahukumiwa bila utetezi wa wakili, umeacha mwanya kwa mbakaji huyo kujitetea kwamba amehukumiwa bila kupewa haki yake ya kutetewa na wakili. Yani mnamhukumu mbakaji, hqlafu anawaletea figisu za kusema kaonewa kwa kuwa hakupewa wakili.

Sasa, katika kumpa haki yake na kuondoa nafasi yoyote ya mtu kusema kahukumiwa kwa uonevu, hapo ndipo hata mbakaji anapewa wakili.
 
Ni mara ngapi sheria inapindishwa hata kama ushahidi ni wa ukweli? Mimi nasema kama ushahidi upo basi sheria ichukue mkondo wake yani pasiwe na kuchelewesha hukumu.
Sheria kuchukua mkondo wake ndiyo hivyo lazima mtu awe na wakili.

Mtu akihukumiwa bila kupewa nafai ya kuwa na wakili ni uvunjaji wa sheria na haki za kikatiba.

Kwa hivyo, unavyozema sheria ichukue mkondo wake, sheria kuchukua mkondo wake ni pamoja na kila mtuhumiwa kuwa na wakili.

Kumbuka kuwa kila mtu anachukuliwa kwamba hana hatia mpaka mahakama impate na hatia (presumptionnof innocence clause). Hii ni haki ya kikatiba.

Ukisema sheria ifuate mkindo wake bila kumpa mtuhumiwa haki ya kuwa na wakili, ni sawa na useme sheria ifuate mkindo wake kwa kuvunja sheria.

That is a contradiction.
 
Padri anajulikana anafanya hivyo vitendo hata mapdri wenzie wanajua. Awajibishwe aache kutuchafulia watoto na kanisa

Sasa kama inajulikana na watu, mbona hakuwahi fikishwa kwa pilato hapo kabla?
 
Mi hata mtoto sipeleki madrasa nawaogopa wanaume ,sijui mmekuwaje mashetani kabisa
 
Sasa kama inajulikana na watu, mbona hakuwahi fikishwa kwa pilato hapo kabla?
Arobaini yake ilikua haijafika ndo imefika iwe kwa kumtegea au kihalali
 
Mama D Mbona umepiga kimya?
 
Sawa mkuu
 
Dawa ya mawakili ni TLS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…