Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Tatizo ni kitu kinachoitwa "ushahidi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamejawa na mihemko, kisa tu mtuhumiwa ni Padre! Yaani wanawachukulia hao Mapadre kama Malaika vile! Kumbe ni binadamu tu kama walivyo binadamu wengine. Kwa sisi tuliopitia huko seminarini, tunafahamu!Ndio maana lazima upelelezi ufanyike na ikathibitishwe pasipo shaka mbele ya mahakama. Unaweza ukawa na bifu na watu wakakutegenezea zengwe usijue pa kutokea au ukategwa na wewe ukajaa.
Mtu anakurupuka eti anyongwe. i.e. auawe. Je, Mtuhumiwa kaua nani? Tuache mihemko na kuiachia mahakama itende wajibu wake kwa mujibu wa sheria zilizopo. Usiporidhika kakate rufaa.Wewe unakataa mambo ya hisia alafu maoni yako ni kujikanganya tu, swala la hukumu halitegemei mihemko au hisia bali kwendana na sheria na katiba ya nchi.
Vitu vingine vilivyo kwenye ngazi ya mahakama ni kuiachia mahakama itende kazi kwa weledi otherwise kama lengo lako ni ku-obsruct justice.
Haya mambo ya kuhukumu mtu bila pande zote kusikilizwa ni ya watu ambao hawana uelewa wa mambo na ulimbukeni.
Kama sheria inasema akikutwa na hatia kwa ushahidi usio na mashaka basi wamuhukumu kwa mujibu wa sheria na siyo vinginevyo.
-ushahidi unaweza kupingwa mahakamani, pale kwenye stage ya kutoa nyaraka anayetoa document lazima awe ameandaa hiyo document usipofanya hivyo pingamiziSawa ila kama ushahidi upo wanapima nini
Huo ndio ukweli na hizo ndizo taratibu za kuzingatia.Watu wamejawa na mihemko, kisa tu mtuhumiwa ni Padre! Yaani wanawachukulia hao Mapadre kama Malaika vile! Kumbe ni binadamu tu kama walivyo binadamu wengine. Kwa sisi tuliopitia huko seminarini, tunafahamu!
Isitoshe haya matukio yametapakaa kila sehemu! Yanafanywa na watu kutoka makundi yote katika jamii! Na hayafanywi na hao Mapdre pekee wa Katoliki.
Mtuhumiwa amefikishwa mahakamani! Ni wakati sasa wa kusubiria hiyo mahakama kutenda haki. Na kama kuna upande hautaridhika na maamuzi ya mahakama, bado kuna nafasi ya kukata rufaa kwenye mahakama za juu.
Sawa mkuu. Linawahasi nini?
Kuna kesi nyingi tu huwa zinatengenezwa (kusingiziwa). Wote walipo jela usifikiri wameenda kwa hakiNi mara ngapi sheria inapindishwa hata kama ushahidi ni wa ukweli? Mimi nasema kama ushahidi upo basi sheria ichukue mkondo wake yani pasiwe na kuchelewesha hukumu.
Ila wanaume muanze kukaa mbali na hawa watoto wadogo hasa Kama sio wenu unaweza Kula kitanzi kizembe kabisa
Kwenye sheria kila mtu hana hatia mpaka akutwe na hatia.Uwakili ni kazi ya ajabu sana kwakweli, yaani unaanzaje kumtetea mtu katili kama huyo Padri, anaeweza kubaka watoto wadogo?
Mimi ni Mkatoliki kabisa ila naomba sana sheria isipindishwe kwa huyu mtu, apewe adhabu stahiki iwe fundisho kwa wote wanaonyanyasa watoto kihisia kwa sababu ya mwamvuli wa dini.
Leo mahakamani amejificha mpaka pua huiioni kama angekua hajatenda hivyo kwanini ajifiche? Wapo wengi aina yake huko makanisani wenye mapepo kama yake, wanaowaka tamaa kwa watoto ipo siku yao.
Yaani natamani hata mahakama wamtoe kwa wazazi na wananchi wa huko Moshi huyo mtu wamponde mawe. Kuna mtu amesoma naye Seminary anashangaa kwanini hata alifikia level ya upadri wakati tabia yake ya uchafu alianza zamani.
Wakili acha kutetea upumbavu wakati ushahidi upo, maana mtoto au watoto hawawezi kudanganya na tena kwa mtu waliyeaminishwa ni mtu wa Mungu mjue mpaka wamesema wamenyanyaswa haswa.
Tuliambiwa twendeni tukazaliane hatukuambiwa umri wa kugegedana ikisimama chomeka, dogo hajabakwa wazazi wake ndo Wana mawengeUwakili ni kazi ya ajabu sana kwakweli, yaani unaanzaje kumtetea mtu katili kama huyo Padri, anaeweza kubaka watoto wadogo?
Mimi ni Mkatoliki kabisa ila naomba sana sheria isipindishwe kwa huyu mtu, apewe adhabu stahiki iwe fundisho kwa wote wanaonyanyasa watoto kihisia kwa sababu ya mwamvuli wa dini.
Leo mahakamani amejificha mpaka pua huiioni kama angekua hajatenda hivyo kwanini ajifiche? Wapo wengi aina yake huko makanisani wenye mapepo kama yake, wanaowaka tamaa kwa watoto ipo siku yao.
Yaani natamani hata mahakama wamtoe kwa wazazi na wananchi wa huko Moshi huyo mtu wamponde mawe. Kuna mtu amesoma naye Seminary anashangaa kwanini hata alifikia level ya upadri wakati tabia yake ya uchafu alianza zamani.
Wakili acha kutetea upumbavu wakati ushahidi upo, maana mtoto au watoto hawawezi kudanganya na tena kwa mtu waliyeaminishwa ni mtu wa Mungu mjue mpaka wamesema wamenyanyaswa haswa.
DiSawa ila kama ushahidi upo wanapima nini
Itakuwa aliwahi bakwa huyo😁Kwa mtu ambaye inaonekana umeelimika unashangaza ukicomnent hivi?
Na akipimwa akagundulika ni khanisi utasemaje?
Mahakama ndio chombo cha kutenda haki na kuthibitisha pasipo shaka yoyote kwamba mtuhumiwa ni guilty.
Hao wanaojua si ndio wangeenda mahakamani kama mashahidi. Yani unacholalamika nini, kwamba mahakama zifutwe hapa nchini tuwe tunatumia hisia tu. Kwamba kesho naamka asubuhi nadai umeua kisha nakuua ama namna gani?Padri anajulikana anafanya hivyo vitendo hata mapdri wenzie wanajua. Awajibishwe aache kutuchafulia watoto na kanisa
SawaHao wanaojua si ndio wangeenda mahakamani kama mashahidi. Yani unacholalamika nini, kwamba mahakama zifutwe hapa nchini tuwe tunatumia hisia tu. Kwamba kesho naamka asubuhi nadai umeua kisha nakuua ama namna gani?
Mbona ni logic ndogo hapa inatumika. Kama una ushahidi na majina ya hao mapadre wanaojua, na watoto wengine waliofanyiwa vitendo hivyo si uisaidie mahakama. Kama ushahidi huna, si usubiri mahakama itumie taratibu zake, nyinyi mpipojua anafanya hivyo mlichukua hatua gani maana wazazi wa mtoto wameenda mahakamani.
Kesi haiendeshwi kwa hisia ndio maana mnafeli