Hivi Padri mtuhumiwa wa ubakaji na yeye ana Wakili?

Mkuu; huyo jamaa hajapanic hata kidogo ila ni kama wewe unataka huyo padre atendewe chap na iwe kama unavyotaka i.e. auawe. Sasa mtuhumiwa hajaua lakini wewe unataka hukumu ya mauaji (Mtu aliyeua na kupatikana na hatia)itumike mahali ambapo sio mahali pake.

Mimi najiuliza hivi ni kweli kwamba kosa hilo ni kubwa kivile?? Watu hawajawahi kulisikia tena?? Mbona ni kosa la kawaida sana karne hii na hata kwa hao Wakatoliki na wengineo limekuwepo muda mrefu sana na kesi za namna hiyo zimezungumzwa sana na hukumu kutolewa lakini hakujakuwepo na hukumu ya kunyongwa/kuuawa hata moja.

Sasa ww unaonekana kukerwa kusivyo kwa kawaida. i.e. You cry louder than the cocks owner. Tusubiri tu mkuu upelelezi utagundua mengi.
 
Mbona mm nimeshatulia? Na hoja yangu ilikua ni wakili anaemtetea anajisikiaje? Any way ya kaizari tumpe kaizari.
 
Sawa ila kama ushahidi upo wanapima nini
Mkuu uelewa wako uko chini sana, hujui kuwa Kuna mambo ya kutengenezewa Kesi!!? yawezekana wakati wanaamini kuwa padri kabaka kumbe alisingiziwa, na muda huo wanaodai kuwa padri alimwingilia binti huenda yeye Padri hakuwepo mazingira yanayodaiwa uharifu kufanyika.

Kwahiyo mahakama itaamua
 
Huyo mtoto tokea enzi ya 9 years huyo padri alikuwa anakula tu taratibu ndio maana hajashangaa alipovuliwa kila kitu nawanakutanaga hapo hapo .ila padri alikiuka maagano nani makubaliano waliokubaliana
 
Mi hata mtoto sipeleki madrasa nawaogopa wanaume ,sijui mmekuwaje mashetani kabisa
Mhhh! Basi mpeleke sunday school, ukishindwa mpeleke shule za bweni, ukishindwa mpeleke english medium tuition, ukishindwa mpeleke kwa mjomba wake au kwa bibi yake, ukishindwa mpeleke kwa baba'ke, ukishindwa tena hapo kaa naye ww mwenyewe. Akikushinda usije kulia-lia hapa umeyataka mwenyewe.
 
Nambeba mgongoni
 
Eee ni wewe huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata Osama angekuwa mahakamani lazima angekuwa na wakili.... hata Khaleed Sheikh Mohamed wa Al Qaeda ana wakili tena kapewa na Jeshi la Marekani, na huyo wakili anafanya kazi kama private lawyer.

Cha muhimu kujua ni kwamba, kesi ni mchakato.... mtuhumiwa anaweza kutoka kwa sababu tu process nzima ya kesi haikufuatwa vizuri. Kama huamini, fuatilia kesi ya OJ Simpson.
 


Huyu mob justice ilimfaa rsana.
 
Huwezi kulazimisha utamaduni wa watu wengine ufuatwe na watu wenye utamaduni Fulani.

Wachaga wanaheshimu sana mapadre na walimu, acha ibaki hivyo.
Kitendo cha kumpeleka Polisi Huyo the so called Padre ni ukweli kuwa taasisi ya upadre uchaggani imekuwa ya kawaida
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…