OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Mkuu; huyo jamaa hajapanic hata kidogo ila ni kama wewe unataka huyo padre atendewe chap na iwe kama unavyotaka i.e. auawe. Sasa mtuhumiwa hajaua lakini wewe unataka hukumu ya mauaji (Mtu aliyeua na kupatikana na hatia)itumike mahali ambapo sio mahali pake.Mbona kama umepanick?.hapa ni jukwaa huru kila mtu ana maoni yake kama yangu hujayapenda unapita kushoto. Maneno yangu mimi sio kwamba yatabadili utaratibu uliopo so relaax kesi inaendeshwa kama unavyotaka. Ila adhabu kali itolewe sehemu salama kwa watt na jamii ilikua ni kanisani na misikitini ila kwa sasa ni kama imani inaenda kupotea.
Mimi najiuliza hivi ni kweli kwamba kosa hilo ni kubwa kivile?? Watu hawajawahi kulisikia tena?? Mbona ni kosa la kawaida sana karne hii na hata kwa hao Wakatoliki na wengineo limekuwepo muda mrefu sana na kesi za namna hiyo zimezungumzwa sana na hukumu kutolewa lakini hakujakuwepo na hukumu ya kunyongwa/kuuawa hata moja.
Sasa ww unaonekana kukerwa kusivyo kwa kawaida. i.e. You cry louder than the cocks owner. Tusubiri tu mkuu upelelezi utagundua mengi.