Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

hakuna laana wala uchawi....kikubwa watu wanakosa elimu ya biashara na uwekezaji... mfano mzuri ni namna hao watu walivyo tumia hizo pesa,.....
 
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo

Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.

Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.

Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.

Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.

Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.

Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.

Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.

Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.

Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.

Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.

Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.

Je hizi pesa zina shida gani?
mbona za waarabu zinaendelea vizazi na vizazi. Za weusi ndizo zina laana na si laana ni akili za kifamba tu
 
Laana inakuja unapokwenda tofauti. Mfano mke atakuwa aligegedwa sana na pesa akatoa.

Watoto wameharibiwa na usasa.

Muhimu. Kuwaelekeza watoto na mke mapema.

Kuna mzee ameandika kabisa urithi. Mwisho mwa kila mali ameweka ukiuza utanifuata hapohapo.

Watoto woga umeeajaa
 
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo

Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.

Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.

Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.

Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.

Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.

Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.

Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.

Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.

Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.

Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.

Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.

Je hizi pesa zina shida gani?
Mtu anakuwa Hana uchungu na pesa ambazo hajazitafuta yeye na hajui namna Gani zilipatikana ...

Nb: hakuna laana yoyte hapo ni ULIMBUKENII tu wa pesa
 
Hata ukiwafundisha kazi hiyo hiyo unao fanya lakini hawana passion au utashi wata iua tu, kuna jamaa ni mchungaji na anafundisha sanaa watoto wake kuchukua hiyo kazi, ila wote hamna alio muiga kabisa ni wa huni wa mtaani.
Kazi ya uchungaji inawazuie wasidinye na kidinywa hakuna atakayeichukua😅
 
Mtu akifa pesa si zake ni za waliobaki na hazina laana yoyote Bali ni wahusika hawana muendelezo kwani wengi wamenufaika na huo urithi, swali ni je walikuwa wanamiradi na biashara wanaendesha? Ilikuwa ni kuendeleza tu, inaonekana walikuwa wanakula na kuishi nyumbani ndo maana mzee alipokata nao wameshindwa na walijua mahela hayo ni mengi hata wakitumiaje haziishi kitu kinachoonyesha walikuwa hawajui chochote kuhusu biashara, Wala kazi Wala mapato na matumizi.
 
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo

Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.

Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.

Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.

Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.

Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.

Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.

Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.

Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.

Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.

Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.

Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.

Je hizi pesa zina shida gani?
Waarabu na Wahindi wana utajiri wa kurith, vipi kwao?
 
Back
Top Bottom