MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Laana hapana ulimbekeni ndiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unawa quote wasiojua nini maana yake.Ni utumishi wenye masirahi ya pesa mkuu
Kwa ivo tatizo ni mali za kurithi au uafrika wetu? Maana umetaka niwatoe wahindi na waarabu.Tupe hao matajiri wasio kua na asili ya wahindi au waarabu wenye mali za kurithi......
Tatizo ni tabia mentality nidhamu hulka za Afrika dhidhi ya mali au pesa, wa Africa hususani wa Tanzanua hatuna nidhamu ya pesa ni malimbukeni wasio heshimu pesa za wengine. .....Kwa ivo tatizo ni mali za kurithi au uafrika wetu? Maana umetaka niwatoe wahindi na waarabu.
Hata ukiwa na soda 5 tu kwa fridge, roho yako haiwezi tulia hadi hizo soda ziishe ndani ya siku moja, wakati wazungu wanakaa nazo hata week!!We mfano hata ukijiangalia , siku una ka 4 mil, yani lazima kakuwehushe, utajikuta tu unafanya matumizi ya ajabu ajabu, ya huwez kutulia.
Ndio maana tunashangaa wao wanawezaje kuuendelezaWaarabu na Wahindi wana utajiri wa kurith, vipi kwao?
Na hii inaenda hadi serikalini- mifumo ya utawala.Tatizo ni tabia mentality nidhamu hulka za Afrika dhidhi ya mali au pesa, wa Africa hatjna nidhamu ya pesa ni limbukeni wasio heshimu pesa za wengine.
Inasikitisha sana mahela mimengi yamekata ndani ya miaka miwili tuMtu akifa pesa si zake ni za waliobaki na hazina laana yoyote Bali ni wahusika hawana muendelezo kwani wengi wamenufaika na huo urithi, swali ni je walikuwa wanamiradi na biashara wanaendesha? Ilikuwa ni kuendeleza tu, inaonekana walikuwa wanakula na kuishi nyumbani ndo maana mzee alipokata nao wameshindwa na walijua mahela hayo ni mengi hata wakitumiaje haziishi kitu kinachoonyesha walikuwa hawajui chochote kuhusu biashara, Wala kazi Wala mapato na matumizi.
sijaona fungu la kumi hapoSipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo
Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.
Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.
Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.
Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.
Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.
Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.
Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.
Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.
Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.
Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.
Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.
Je hizi pesa zina shida gani?
Tuna la kujifunza kwa hawa wenzetuEasy come easy go
Something that is achieved easily is also lost easily
Baba yao hakuwaandaa wanae na familia yake kujitegemea na kujisimamia baada ya yeye kufa,
Angalia familia za Wahindi na Waarabu,hua wanawaandaa watoto wao kabla,ndio maana wakifa hua biashara zinaendelea bila wasiwasi,ni nadra sana kukuta hizi familia zinauza mali za marehemu na kugawana halafu kila mtu anashika njia yake.
Kifo kinakuja ghafla unaweza kupanga kuwambia kesho kumbe usiku huu Mungu akakuchukua.sijaona fungu la kumi hapo
na pia inategemea mzee pesa alizipataje. kama ni kwa njia nzuri au mbaya basi alitakiwa awaambie namna ya kuzitumia.
Walikuwa watoto wa mama hiyo ndo shida na huwa hawajui ndugu haoInasikitisha sana mahela mimengi yamekata ndani ya miaka miwili tu
Ni ujinga tulio rithi kwenye vinasaba vyetu, unakuta muajiliwa wa wa serekali anakopa pesa benki na kujenga nyumba ya 100m na kamiliki gari la 30m ila kijijini kwao aliko somea mpaka leo wanatumia chanzo kimoja cha maji binaadamu na wanyama na wazazi wake bado wako kule kile kwenye nyumba ya tope na majani.........hapo ndo ujue akili zetu haziko business oriented tena hao ndo wasomi wetu. tuna endekeza starehe tu.Na hii inaenda hadi serikalini- mifumo ya utawala.
Unakuta Rais wa Afrika anakula bata kuliko Putin au kuliko Obama
Wafrika kwa asili ni walafi.Ni ujunga tulio rithi, unakuta muajiliwa wa wa serekali anakopa pesa benki na kujenga nyumba ya 100m na kamiliki gari la 30m ila kijijini kwao aliko semea mpaka lro wanatumia chanzo kimoja cha maji binaadamu na wanyama na wazazi wake bado wako kule kile kwenye nyumba ya tope na majani.........hapo ndo ujue akili zetu haziko business oriented tena hao ndo wasomi wetu.
Upo sahihi kabisa,Wafrika kwa asili ni walafi.