KERO Hivi Polisi na Trafiki wapo kweli? Tazama gari kama hili bado barabarani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu.

Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa iwapo gari kama hili linaloweza kuhatarisha maisha ya watu na mali zao linatembea barabarani.

Mmesahau majukumu yenu na kufanya yasiyowahusu matokeo yake majukumu yenu hayana wa kuyafanya mpo mpo kukimbizana na mikutano na maandamano ila hatari halisi zenyewe wala hamzioni. Aibu yenu.
 
View attachment 3631440

Huyo mwanamke ana mdomo sana
 
Hilo gari utakuta ni la ofisa mkubwa wa jeshi la polisi.
 
Huu utaratibu wa kuwaweka polisi barabarani ni njia tu inayotumiwa na serikali hii kuwafurahisha polisi ili wajiongezee kipato kwa kupokea rushwa na ni fadhila kwa polisi kwa namna wanavyoisaidia ccm kuendelea kubakia mamlakani.

Dunia ya kisasa ya tekinolojia hakuna sababu ya polisi kuwa barabarani kama sio kufanyiwa fadhila na serikali kwa kutambua mchango wao katika kuiweka ccm madarakani.

That's the bitter fact.
 
Kuna zoezi la ukaguzi linaendelea nchi nzima na deadline tumeambiwa ni 31/07/2026.

Peleka gari kituoni sasa ukajionee maajabu ya Musa!

In short, mgeni hataki soda bali mia sita yake!
 
Aaaah we dada, hebu punguza mdomo uende ukampikie mumeo.

Zinaharibika mimba, sembuse gari?

Ulishawahi kwenda wodi za wajawazito ukawaona wanavyotembea upande upande?

Hiyo gari imekata springs, kwa hiyo hapo dereva anajaribu kuisogeza sehemu nzuri na salama afaulishe mzigo.
 
Back
Top Bottom