KERO Hivi Polisi na Trafiki wapo kweli? Tazama gari kama hili bado barabarani

KERO Hivi Polisi na Trafiki wapo kweli? Tazama gari kama hili bado barabarani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu.

Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa iwapo gari kama hili linaloweza kuhatarisha maisha ya watu na mali zao linatembea barabarani.

Mmesahau majukumu yenu na kufanya yasiyowahusu matokeo yake majukumu yenu hayana wa kuyafanya mpo mpo kukimbizana na mikutano na maandamano ila hatari halisi zenyewe wala hamzioni. Aibu yenu.
Hilo gari utakuta ni la mwenyekiti wa ccm mahala fulani
 
Trafiki wa kike barabara ya Bagamoyo wala rushwa wakubwa, ila wakiona dereva msichana wana ghadhabika kwa wivu hata rushwa hawataki wao ni faini tuu.
Daaaah umeongea ukweli iyo Bagamoyo road Rushwa nje nje bila kificho.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom