Huyo mwanamke ana mdomo sanaView attachment 3631440
Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu.
Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa iwapo gari kama hili linaloweza kuhatarisha maisha ya watu na mali zao linatembea barabarani.
Mmesahau majukumu yenu na kufanya yasiyowahusu matokeo yake majukumu yenu hayana wa kuyafanya mpo mpo kukimbizana na mikutano na maandamano ila hatari halisi zenyewe wala hamzioni. Aibu yenu.
Hatari sanaTrafiki wa kike barabara ya Bagamoyo wala rushwa wakubwa, ila wakiona dereva msichana wana ghadhabika kwa wivu hata rushwa hawataki wao ni faini tuu.
Hilo gari utakuta ni la ofisa mkubwa wa jeshi la polisi.
Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu.
Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa iwapo gari kama hili linaloweza kuhatarisha maisha ya watu na mali zao linatembea barabarani.
Mmesahau majukumu yenu na kufanya yasiyowahusu matokeo yake majukumu yenu hayana wa kuyafanya mpo mpo kukimbizana na mikutano na maandamano ila hatari halisi zenyewe wala hamzioni. Aibu yenu.
Na mumewe ana mtiiHuyo mwanamke ana mdomo sana
Modern coupleNa mumewe ana mtii
Kama wapo serious kiasi hicho na ushoga basi hakuna tatizoIngekuwa na Lebo ya CHADEMA dereva na marungu angeshapigwa😃😄😄
50/50 lifeModern couple
Yeah man50/50 life