KERO Hivi Polisi na Trafiki wapo kweli? Tazama gari kama hili bado barabarani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hilo gari utakuta ni la mwenyekiti wa ccm mahala fulani
 
Trafiki wa kike barabara ya Bagamoyo wala rushwa wakubwa, ila wakiona dereva msichana wana ghadhabika kwa wivu hata rushwa hawataki wao ni faini tuu.
Daaaah umeongea ukweli iyo Bagamoyo road Rushwa nje nje bila kificho.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…