Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kwema wakuu,

Yapata miezi 4 sasa tangu watu tutume applications za taasisi tajwa hapo juu lakini wahusika ni wako kimya tu hawaiti watu kwenye usaili.

Hivi karibuni zimeibuka tuhuma mbalimbali kutoka kwa wadau kuwa kuna watu kutoka hizo taasisi tajwa hapo juu wameajiriwa kimya kimya bila hata kufanya interview kama ilivyozoeleka.

Pamoja na ukimya wa PSRS mtu unapata mashaka maana hii bongo lolote linawezekana.kwa hiyo tunawataka na wala sio kuwaomba nyie PSRS mtoe majina haraka sana watu wafanyiwe usaili kwa nafasi walizoomba katika fair grounds na wala sio kwa kuvujisha mitihani kama mfanyavyo sasa hivi.
 
Mwambie mwambie huyo.

Akikosa nafasi anasema wenzake wamepewa pepa wakati viswali vya kawaida.
 
Mwambie mwambie huyo.

Akikosa nafasi anasema wenzake wamepewa pepa wakati viswali vya kawaida.
Hivi nyie mnajielewa kweli?kwa hiyo nyie mnaona miezi minne ni michache?rubbish
 
Mimi mwenyewe niliomba mdas na LGA's lakn mpaka leo haku a cha interview, kumbe tuko wengi, labda watatusikia

liomba mdas na LGA's kila nikiomba angalia mtandaoni sioni kuitwa kwa interview wala nini pi
 
Umeongea maneno makali sna mkuu, katika maisha ya kufanikiwa si uwezo wa kufaulu mitihani tu ndio kigezo. Niamini mimi kuna uwezekano mkubwa sna wa huyu jamaa kupata kazi nzuri kabisa hadi ww ukashangaa.
Nakumbuka tukiwa chuo kuna jamaa alikuwa kilaza sana na alirudia hadi mara 3 na ukimuona unaweza fikiri dishi limeyumba. Lakini sasa tulivyomaliza tu chuo akapata shavu Auditing firm na mpk sasa yupo na amekuwa smart sna kichwani.

Somo: Usimdharau mtu kwa mwonekano wake, madhaifu yake, uelewa wake. Vyote hivyo vinaweza badilika kwa muda mfupi tu na pengine kuwa hata Boss wako, mifano ipo.
 
Na cha kushangaza huyo anaenikashfu humu kwa hivyo vimaswali vyepesi anavyosema yeye,nae yuko jukwaa hili hili la ajira anaskilizia wadau wapost ajira nae aombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…