Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

Mpuuzi sana,kulialia tu sijui anataka nini!!!inaonekana ni MLALAMISHI tangu akiwa mchanga
Ooh mkuu...... mbona maneno makali hivi u know,kila mtu anahobbies zake meenzako labda kushusha nyuzi JF za kulalamika ndio hobbies zake asa why unamjia juu kiasi hiki??

Kwa navyojua hi,i nyuzi za mtoa mada kuna watu wakiziona wanafarijika au kuelimika kwa njia moja au nyingine. Pia uku.buke ridhiki hutoa mwenyezi MUNGU sio mwanadaamu so sio vema kumhukumu au kuhukumu kila kitu

Mwisho angalia mkono ako je vidole vyako vinalingana? Najua havilingani na binadamu tupo hivohivo simply HATUFANANI. kyagata may the LORD your GOD see you through 🙏
 
unawapangia kazi PSRS eti wanangoja nini kuwaita kwenye Interview[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uchoko wako ni wa kiwango cha juu sana
Ningependa kukushauri kitu mzee mwenzangu.
Nimeangalia mtiririko wa conversations zenu na mleta mada naona mnashushiana heshima kwa vitu vya kijinga tu.
Humu vijana wengi hawana ajira,hivyo wamevurugwa.kwa hiyo wewe kumuattack mtu kwa kumuita sijui kilaza haipendezi.nilitegemea sisi kaka zao tuliokwisha watangulia tutumike kama njia ya kuwasaidia na sio kuwabeza.
Kwa kifupi mzee mwenzangu umekosea na ni bora hata ukaacha kujibishana nao kabisa.
 
Nimekupata Mkuu nashukuru,nilimueleza muanzisha Uzi kwamba awe na subira na asiwe na jazba kukimbilia kuanzisha nyuzi za kulalamika kuhusu PSRS kila siku,ile ni Taasisi inafanya kazi kwa taratibu,sasa kui-attack kila siku sijui inachelewa kuita watu,sijui inapendelea si sahihi!!!ndio maana nikamtolea mfano kwamba kuna kijana wangu alifanya Interview Taasisi moja ya Elimu ya Serikali mwezi wa pili mwaka huu,juzi wiki iliyopita(baada ya miezi Saba kupita ndio kaitwa kazini)hivyo subira siku zote yavuta heri,hakuna haha ya kulaumu Mitandaoni kila siku haisaidii,sijajua kwake jema ni lipi maana akiitwa kwenye Interview akitoka tu anakuja JF kuanzisha Uzi Mtihani Mgumu,asipoitwa kazini oohh PSRS wana UPENDELEO,wakichelewa kuita watu oohh wanangoja nini khaaa!!!hatuwezi kuvumilia upuuzi wake
Ushauri wangu mimi ni huo tu mzee mwenzangu.kuendelea kujibizana na watu walio desperate ni kujishushia heshima tu.
 
kama Usaili wa Bunge tu maswali rahisi yale ulikutoa USHUZI usitegemee hizo Taasisi nyingine kutoboa iwe jua iwe mvua,wewe ni KILAZA tu kama VILAZA wengine,PSRS hawafanyi kazi JF endelea kulialia pimbi wewe,kwa taarifa yako tu kwamba Usaili wangu wa kwanza kuitwa na PSRS(written tulifanyia DUCE tukiwa 45 nilitoboa,na Oral tulipita 8 tukafanyia Maktaba Kuu pale zilipokuwa Ofisi za PSRS nilitoboa na kazi nikapata(ukitaka barua ya placement nitaweka hapa senge wewe),endelea kulialia JF kila siku nyuzi tu za kulalamika,ukiitwa unalalamika Mtihani mgumu wakati wewe ndio kichwa maji,usipoitwa unalalamika UPENDELEO,mara wanachelewa kuita khaa!!!
Duh
Punguza ukali wa lugha jamani mtoa riziki ni Mungu na akiamua anaweza ichukua muda wowote!
 
kwa kukusaidia tu ni heri ukiitwa kwenye Interview kwenye Taasisi fulani,anzisha Uzi kuuliza kama kuna Mwana JF anafahamiana na yeyote kwenye Taasisi hiyo,mfano Bunge pale nina marafiki zangu nilisoma nao First Degree ni Maofisa wakubwa tu Bunge pale achilia mbali Wabunge wenyewe niliosoma nao darasa moja mfano kina Mavunde nk,mtu anaweza kukusaidia A,B,C D's na connection if possible badala ya kuanzisha nyuzi kulialia JF kila siku haikusaidii,mimi mwenyewe 2025 panapo uzima nitagombea Ubunge kijijini kwetu huko baada ya hawa marafiki zangu Wabunge kunishauri nijaribu,zaidi ya hapo endelea kuishutumu PSRS Mitandaoni kama unaona shutuma zako zitakusaidia kupata kazi
Wise answer sasa hebu ishia hapa ili amani na upendo vitawale.
 
Mkuu, japo sikujui vya kutosha, una kila kiashiria cha jamii kutegemea mitazamo chanya kutoka kwako. Huu sasa ni mfano mzuri wa aina ya komenti wengi tulitegemea kuziona kutoka kwa mtu wa hadhi yako.

Maandishi yako yana hoja nzuri za kumjenga ndugu kyagata, lakini namna ulivyoyawasilisha yanamkwamisha kupata ujumbe.

Uzuri au ubaya wa kitu uko kwenye kona mtazamaji aliyoamua kuitazama, wewe uko sahihi kwa upande wako na kuna watu tuko pamoja na wewe na yeye amelenga kuwakilisha wengine wanaojiuliza maswali anayojiuliza na nauona usahihi pia, pamoja na hilo kuna watu tuko pamoja nayeye.

Kabla ya kumuona yeyote anakosea, ni vizuri kuelewa kilichomsukuma afanye alichofanya, hii ndiyo sababu naona wote wawili hoja zenu ziko sahihi shida ni hasira zimeingilia kati mkaanza kutumia lugha za matusi.

Nashauri tuusitishe huu mvutano, unakoelekea faida zake ni ndogo kuliko hasara.

Naomba radhi kama andiko hili litamkwaza yeyote kati yenu.

Waswahili husema, muungwana akivuliwa nguo, huchutama.

Usiache kumwagia vijana connection Mkuu.

Kila la kheri kwenye mchakato wako wa kuwania Ubunge, utakutana na mawazo hasi mengi sana, nakuombea yasikurudishe nyuma.
 
kwa kukusaidia tu ni heri ukiitwa kwenye Interview kwenye Taasisi fulani,anzisha Uzi kuuliza kama kuna Mwana JF anafahamiana na yeyote kwenye Taasisi hiyo,mfano Bunge pale nina marafiki zangu nilisoma nao First Degree ni Maofisa wakubwa tu Bunge pale achilia mbali Wabunge wenyewe niliosoma nao darasa moja mfano kina Mavunde nk,mtu anaweza kukusaidia A,B,C D's na connection if possible badala ya kuanzisha nyuzi kulialia JF kila siku haikusaidii,mimi mwenyewe 2025 panapo uzima nitagombea Ubunge kijijini kwetu huko baada ya hawa marafiki zangu Wabunge kunishauri nijaribu,zaidi ya hapo endelea kuishutumu PSRS Mitandaoni kama unaona shutuma zako zitakusaidia kupata kazi
Huu ushauri ungeutoa mwanzo tusingetukanana.ila ulianza kwa madharau na kashfa.
Yaishe na tusameheane
 
Back
Top Bottom