Umeongea maneno makali sna mkuu, katika maisha ya kufanikiwa si uwezo wa kufaulu mitihani tu ndio kigezo. Niamini mimi kuna uwezekano mkubwa sna wa huyu jamaa kupata kazi nzuri kabisa hadi ww ukashangaa.
Nakumbuka tukiwa chuo kuna jamaa alikuwa kilaza sana na alirudia hadi mara 3 na ukimuona unaweza fikiri dishi limeyumba. Lakini sasa tulivyomaliza tu chuo akapata shavu Auditing firm na mpk sasa yupo na amekuwa smart sna kichwani.
Somo: Usimdharau mtu kwa mwonekano wake, madhaifu yake, uelewa wake. Vyote hivyo vinaweza badilika kwa muda mfupi tu na pengine kuwa hata Boss wako, mifano ipo.