Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

Halafu huyo hana uwezo wowote, hebu muulize kasomea nini ndio utajua kuwa hajasoma kozi ngumu, hawezi kujilinganisha na kyyaagata ambaye kasomea B.com tena ya udsm.
 
-Halafu anasema anataka kugombea Ubunge, bila shaka litakuwa liCCM hilo ndio ambao wengi wao hawawezi kujenga hoja.
- Kaona Ubunge ni kazi ya heshima wakati wala sio kazi ya heshima ni kujua kusoma na kuandika tu, Ubunge wa kenya ndio una heshima.
 
Dah ili ni balaa boss unasema imepita miezi 4 , sio minne hapo TRA ni miezi mi 5, wasenge wanatangaza ajira kisiasa sijui kama vipi wakaushe milele tu wasiwe wanatangaza vitu vya uongo , interview zishakuwa kama BSS tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Eh! Umepania kiongozi vipi una uhakika??

Kesho usije toa uzi mwingine ukisema jamaa hawako fair!!

Usiwe na haraka kila kitu kitaenda sawa bhana.

We endelea na mishe zingine huku ukisubiria hzo shortlists
 
Tunawakumbusha mkuu,muda mrefu umepita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ