Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Nadharia za kuwachukia wazungu zilipandikizwa na waumini wa ujamaa.Mfumo wa ujamaa umekazia kwenye kulaumu tatizo kuliko ufumbuzi wa tatizo.Wajamaa waliwaaminisha watu kupitia masomo tuliyopoteza mda wetu kuyasoma mashuleni kupitia mitaala iliyotengenezwa na watawala walioshindwa Kama sehemu ya kuwatupia lawama wengine juu ya kushindwa kwao.
Huna kila kitu ambacho hata wazungu hawana bado unawalaumu juu ya kushindwa kwako.
Mkuu,first of all you have to receive my bravo!Watu wajifunze kwa ulichoandika badala ya kuishi kwa propagations!😂😂😂😂
 
Wafanyakazi hewa na vyeti feki ajagusa kabisa majeshini isipokuwa kwa watumishi wengine hizi si ndo dabo standard zenyewe hizi.
Jamaa is a joga for sure!Anaogopa watamtapisha urais waliomsukumiza. Tunamuangalia tu.Mzee Kikwete tutolee huyu mnyamulenge aso na huruma kwa wananchi. Get the hell out of the system that hec of a fula pigmy!😂😂😂😂
 
faruJoh,
Mkuu rais kuonesha wasiwasi juu ya bidhaa ambayo tayari iko nchini na inatumika na watu maana yake ni kuwa serikali yake imeshindwa kazi.

Hakuna udhibiti tena kwa hiyo mtu yeyote anaweza akaingiza bidhaa nchini any time na asiulizwe chochote.Kweli hii hapa kazi tu is hapa kazi tu for nothing
 
Kipimo cha utimamu wa akili na mwili wa mtu anaitwa mtanzania blla kujari nafasi yake kwenye nchi hii ni October 2020. Yaani Magufuli kwa watu wenye akili timamu na uhai si tu hatakiwi kuchaguliwa bali hata ile kuonesha Nia tu ya kugombea Tena anatakiwa apigwe vita
Hawezi ongoza Jamii za watu walioelimika na kustaarabika kiongozi dhaifu ni yule anategemea kubebwa na dola na si hoja.Kiongozi makini usimama mwenyewe na Wala ategemei kukamilishwa na dola
 
Kada zipo nyingi zaidi ya utumishi wa umma. Wewe ukilia awamu hii kuna wenye kucheka mpaka jino la mwisho likaonekana.

Uko sahihi na hii ndiyo sababu inayonifanya kutomkubali Kiongozi/Mtawala aina ya Magufuli. Bora hata JK, yeye hakuwa mbaguzi wa wazi kama Rais wa sasa.

Ukiwa mzazi, ni dhambi kubwa kuwabagua watoto wako au kuwashindisha kabisa na njaa, au kushindwa kuwanunulia nguo za sikukuu (kuwapandisha madaraja na kuwaongezea mishahara) eti kwa sababu tu unafanya maendeleo ya kujenga nyumba (stiglers gorge, STG, flyovers, nk), kununua magari (ndege), nk.

Maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu. Na pia kuwepo na mgawanyo sawa au hata unao karibiana wa keki ya Taifa. Yaani yeye na wapambe wake waishi kama Malaika halafu sisi tuishi kama Mashetani! Upuuzi gani huu!!

Mbona JK aliweza kujenga miundombinu mbalimbali na wakati huo huo alijitahidi kuboresha maisha ya Watanzania wakiwemo Wafanyakazi wa kada tofauti tofauti? Yeye anashindwa nini kama siyo tu "UKAIDI" kama wasemavyo wale jamaa wa Citizen Tv - Kenya?
 
YaTE="Moisemusajiografii, post: 35112042, member: 180323"]
Zitto anapong'ang'ani sheria itungwe ili Rais ashtakiwe huwa anamaanisha jambo muhimu sana.Huyu jamaa atakapotoka madarakani ni vema akashtakiwa kwa uvunjaji wa sheria.The old boy is a savage!😂😂😂😂😂😂
[/QUOTE]
Yaani kuna "abuse of power" inayofanyika katika utawala huu wa awamu ya tano, ambao haujawahi kufanywa na Rais mwingine yeyote hapo kabla
 
YaTE="Moisemusajiografii, post: 35112042, member: 180323"]
Zitto anapong'ang'ani sheria itungwe ili Rais ashtakiwe huwa anamaanisha jambo muhimu sana.Huyu jamaa atakapotoka madarakani ni vema akashtakiwa kwa uvunjaji wa sheria.The old boy is a savage!😂😂😂😂😂😂
Yaani kuna "abuse of power" inayofanyika katika utawala huu wa awamu ya tano, ambao haujawahi kufanywa na Rais mwingine yeyote hapo kabla
[/QUOTE]
Huyu kiumbe ni vema akitoka tu adakwe na kushtakiwa!Anawadharau waliomtangulia.Anawadharau wana wa nchi.Anajimwambafai!Hana adabu kwa ujumla.He has to go to hell!😂😂😂
 
Mystery,
Hivi unaamini kabisa rais hana mawasiliano na waziri mkuu kuhusu updates? Dah...nimesikitika sana! Na ktk kikao hicho alichokiita, hakusikia akisema wakuu hao wameenda kumpa updates za usalama wa nchi?

Sio updates za corona, ila kama rais akachutumia muda huo pia kuongea na taifa. Hujawahi muona rais anaenda kuongea na wazee wa mkoa wa dar es salaam alafu anaunga humo humo anaongea na taifa?

Aisee mkuu, kuna kitu hakiko sawa..
 
Yaani kuna "abuse of power" inayofanyika katika utawala huu wa awamu ya tano, ambao haujawahi kufanywa na Rais mwingine yeyote hapo kabla
Huyu kiumbe ni vema akitoka tu adakwe na kushtakiwa!Anawadharau waliomtangulia.Anawadharau wana wa nchi.Anajimwambafai!Hana adabu kwa ujumla.He has to go to hell!😂😂😂
[/QUOTE]
Tatizo ni mmekariri sana wakuu. Ruhusuni bongo zenu kuwa flexible.
 
Wataalam wenyewe wa Afya wanakimbia wagonjwa waitwe wanna??
 
Ni wapambe na wanufaika walio mezani lkn wengi wako hoi.No nyongeza,no motisha,no kupanda madaraja Hadi miradi ikamilike ambayo haujulikani lini even 20 yrs.Vipi Hawa wanaostaafu leo si umewanyima haki zao za kikatiba
Huwezi mfurahisha kila mtu ukiwa rais. Cha muhimu simamia kile unachokiamini haswa kilichoandikwa ndani ya ilani ya uchaguzi.
 
Tate Mkuu,
Kwa bongo hii kila rais huwa lazima abebeshwe zigo la lawama, hakuna anayeingia na kuondoka akiww msafi.

Ni JK huyo anayekumbukwa ambaye alilaumiwa kwa safari zake nyingi za nje.

Elimu bure kwa wote, ubaguzi upo wapi?.

Barabara zinajengwa nchi nzima ubaguzi upo wapi?.

Fursa za biashara kwa wote, ubaguzi upo wapi?.
 
Wataalamu wa afya walikua katika majukumu


Izo tangawizi na limau ziwe nyingi
 
Back
Top Bottom