Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mkuu,first of all you have to receive my bravo!Watu wajifunze kwa ulichoandika badala ya kuishi kwa propagations!😂😂😂😂Nadharia za kuwachukia wazungu zilipandikizwa na waumini wa ujamaa.Mfumo wa ujamaa umekazia kwenye kulaumu tatizo kuliko ufumbuzi wa tatizo.Wajamaa waliwaaminisha watu kupitia masomo tuliyopoteza mda wetu kuyasoma mashuleni kupitia mitaala iliyotengenezwa na watawala walioshindwa Kama sehemu ya kuwatupia lawama wengine juu ya kushindwa kwao.
Huna kila kitu ambacho hata wazungu hawana bado unawalaumu juu ya kushindwa kwako.