Umetumwa na Rostam Aziz? Mnataka kuiba tena kama enzi za marehemu Balali/ Zamia Meghji!!Namkubali kinyama bashe, nashauri apewe kabisa Uwaziri wa fedha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumwa na Rostam Aziz? Mnataka kuiba tena kama enzi za marehemu Balali/ Zamia Meghji!!Namkubali kinyama bashe, nashauri apewe kabisa Uwaziri wa fedha.
Kwanza hii dhana ya mawaziri kujizungusha ovyo nchi kavu na angani ni potofu sana.Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.
Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi kimya kimya tu, Wizara ya Mambo ya ndani/ njema c kimya.
Siyo dalili nzuri!
PikipikiTaja geuzi moja tu tulijue
Mbona wakulima tunahangaikia na kutafuta wakututetea ilimbolea ishuke, mpake Leo kila mtu yuko kimyaaaa.Wazir anayepiga kazi ni Bashe , huyo jamaa habahatishi anachokifanya , anapambana Sana , to be honest pia Nape anajitahdi , Makamba ni Wazir wa hovyo kuwahi kutokea tangu hii nchi ipate Uhuru..mawazir wengine wote wapo neutralized , hawajui hata nini kinaendelea hii nchi , Kwa sasa wapo busy kujipimia kulingana na urefu wa kamba zao
Kwanza hii dhana ya mawaziri kujizungusha ovyo nchi kavu na angani ni potofu sana.
Wizara ina watendaji na wataalamu... waachwe wafanye kazi zao.
Mawaziri wasubirie ripoti badala ya kuzunguka kutema mate huko na kule...
Delegation ingetusaidia sana kupunguza gharama na kujenga weledi
Wanaliingizia taifa hasara kubwa!!Matumizi ya thamani za JWTZ ya angaliwe upya na kwa umakini.