Huyo Mtei si alikuwa kibaraka wa Wazungu!
Kilichoua Uchumi wetu ni uwizi na uvivu wa Watanzania, Mwalimu Nyerere alifanya kwa nafasi yake ila alizungukwa na wezi kama ambavyo ata sasa Rais kazungukwa na Wahuni!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
..Mtei alikuwa mzalendo, na ataendelea kukumbukwa hivyo.
..Ushauri wake ungezingatiwa kwa wakati tungeweza kupata ahueni ya kiuchumi.