Huyo Mtei si alikuwa kibaraka wa Wazungu!
Kilichoua Uchumi wetu ni uwizi na uvivu wa Watanzania, Mwalimu Nyerere alifanya kwa nafasi yake ila alizungukwa na wezi kama ambavyo ata sasa Rais kazungukwa na Wahuni!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Majina ya vitabu mkuu
Hizo PhD za heshima ni recognition ya juhudi zake as appreciation to encourage her to do more. Ukipewa good services yoyote, na kusema asante, hiyo asante haisaidii kitu, ila its good to be appreciative.
Hata mimi humu ni mwalimu mzuri wa appreciation
Appreciation, Appreciation, Appreciation
- Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
- CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania
- Nyaraka za Muungano: Tundu Lissu kutoishukuru JF na Pasco maana yake nini?
- ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.
- Wito kwa wanahabari: If you can't get what you want, just take what you get!
- Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
P
Asante uncle ,nimechelewa kuijua JF nimeanza kuifatilia mwaka 2013 nikiwa mwanafunzi wa diploma... Najua hapo ilikua tayari imevurugika lakini si kama sasa..asante na ubarikiwe na screen shot reply yako nitatafuta hivi vitabu Hardcopy..." A Knight in Africa. A Journey from Bekene " -- By Andy Chande.
" From Goatherd to Governor " - By Edwin Mtei.
..pia tafuta mijadala iliyohusu kitabu cha Edwin Mtei hapa JF.
..Yeye mwenyewe Mzee Mtei alishiriki mijadala hiyo.
..JF ilikuwa jukwaa lenye heshima sana kabla CCM haijatuma vijana wake kuharibu na kuvuruga mijadala.
Magufuli alifoji Elimu kivipi wakati ata andiko lake alilopatia PhD lilitangazwa adharani?
Wekeni ushahidi wa kutosha,alifoji kivipi ili na sisi maamuma tuelewe!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app