Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Job alichofanya sio Sahi,aliingilia mhimili mwingine na yy,ndio maana nasema TZ bado hatujui tunataka nn.Mhimili upi? Job yuko wapi sasa?
Kwani hujui kuwa yeye Rais ndiye aliyeamuru Kesi hiyo ya kubambika ifunguliwe mahakamani?Bro rais hana mamlaka ya kufuta kesi inayoendelea,hayo ni mamlaka ya mwendesha mashtaka mkuu,rais anaweza kumsamehe mtu ambae tayari kaisha hukumiwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Na stahiki zote za spika mstaafuJob SIYO Jobless. Ni Mbunge wa Kongwa. Mwenzio anapokea mshahara wa 11M kila mwezi
Ili mwendelee kumnanga kwamba anaingilia muhimili mwingine??Ni dhahiri sasa kwa kila anayeifuatilia Kesi ya ugaidi ya kina Mbowe, ameshabaini kuwa hiyo Kesi ni ya michongo na mashahidi wanaoletwa hapo mahakamani pia ni wa michongo!
Hivi unawatuhumu watu kwa ugaidi, halafu kila shahidi anayetoa ushahidi hapo mahakamani anaonekana kuwa amepangiwa ya kusema Ili awatie hatiani akina Mbowe?
Inafahamika wazi kuwa Ili Mahakama iwatie hatiani watuhumiwa, ni lazima upatikane ushahidi usio na shaka yoyote Ili watuhumiwa wahukumiwe kwenda jela.
Kwa mujibu wa ushahidi uliokwishatolewa hadi hivi sasa, hakuna ushahidi wowote wa kuwatia hatiani akina Mbowe, bali ni kuendelea kuwatesa kwa kuendelea kuwaweka mahabusu kina Mbowe kwa kipindi kirefu.
Hivi unawezaje kuwaita watu watuhumiwa wa ugaidi wa kulipua vituko vya mafuta, Ili Hali ushahidi uliotolewa hadi hivi sasa, hauonyeshi sehemu yoyote kuwa watuhumiwa hao walipanga njama za kulipua vituo hivyo vya mafuta?
Unawezaje kuwatuhumu watu kwa ugaidi, huku ukiieleza Mahakama, kuwa eti mtuhumiwa wa kwanza Mbowe, alifadhili ugaidi huo kwa kumtumia pesa mtuhumiwa mwingine shilingi elfu 80 tu?
Unawezaje kuwatuhumu watuhumiwa kuwa walipanga kumuua Sabaya, wakati mashahidi wenu wakidai kuwa hakuna sehemu yoyote Kati ya sms walizozi-hack, iliyomtaja Sabaya kutaka kuuawa?
This must be a joke of the year [emoji16]
Kwa wakuu wa Serikali, akiwemo Rais Samia na IGP Sirro kuutangazia Ulimwengu kuwa wamemkamata Mbowe, wakiwa na ushahidi usio na shaka yoyote kuwa Mbowe alipanga njama na watuhumiwa wenzake kufanya ugaidi wa kulipua vituo vya mafuta na kupanga magogo Barabarani kwa lengo la kutaka nchi yetu isitawalike
Tufike mahala ambapo Mahakama zetu zisimuone Rais Samia kama mungu- mtu na zitambue kuwa yeye ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, ambaye anaweza kukosea kwa matamshi yake na matendo yake na zihukumu kwa Haki kwa kuifuta Kesi hiyo ya ugaidi ya akina Mbowe, ambayo imeliletea aibu kubwa Sana Duniani kwa watawala wetu kuweza kuwabambikia Kesi kubwa ya ugaidi
Yana mwisho. Tena mwisho wake utakuwa ni mbaya sana ni suala la muda tu.Hivi bado unaamini kuwa kuna "separation of power" Katika nchi hii?
Katika nchi hii mhimili ni mmoja tu na ni huo anaouongoza Rais ambaye yeye ndiye anajiona mungu-mtu ambaye anajiona kuwa hakosei kwa lolote na anataka falsafa hiyo itekekezwe na mihimili yote nchini!
Hiyo ndiyo sababu Kuu inayomfanya chifu Hangaya akatalie kata kata uundwaji wa Katiba mpya nchini, Ili yeye aendelee kutawala bila kubughuziwa na mtu yeyote hapa nchini
Hiyo ndiyo sababu Kuu inayomfanya Chifu Hangaya akatalie kata kata uundwaji wa Katiba mpya nchini, Ili iendelee kumfanya yeye mungu-mtu hapa nchini!
Nini kilitangulia barua au tamko toka kwa mwenye Mhimili Mkuu??Maamuzi yake binafsi, au hukuona barua
Majibu unayo mwenyewe acha kuzuga watu hapa.Wtz,ni kama hatujielewi,Rais ni mhimili mwingine na haupaswi kuingiliwa hiyo ndio maana ya utawala wa Sheria.Samia yupo sahihi.Alafu hiyo Katiba mpya tunayodai ni ya nn?
Mshana JrUnawezaje kuwatuhumu watuhumiwa kuwa walipanga kumuua Sabaya, wakati mashahidi wenu wakidai kuwa hakuna sehemu yoyote Kati ya sms walizozi-hack, iliyomtaja Sabaya kutaka kuuawa?
This must be a joke of the year [emoji16]