Hivi Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" gani kutoamuru Kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe ifutwe bila masharti yoyote?

Hivi Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" gani kutoamuru Kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe ifutwe bila masharti yoyote?

Muhimili mmoja hauwezi kuingilia muhimili mwingine.

Au siku hizi mmeacha kuhubiri demokrasia?

Yaani unakurupuka na thread ya utetezi JF?mawakili wenu wameshawajulisha kuwa maji yamemfika shingoni sasa mnasaka public sympathy.
Huyo uliyemuweka kwenye Avi alisema kuna mhimili umejichimbia sana je ni upi?
 
Mpaka awe na HOFU ya MUNGU
Muhimili mmoja hauwezi kuingilia muhimili mwingine.

Au siku hizi mmeacha kuhubiri demokrasia?

Yaani unakurupuka na thread ya utetezi JF?mawakili wenu wameshawajulisha kuwa maji yamemfika shingoni sasa mnasaka public sympathy.
Mbona huyo huyo Rais Samia aliifuta Kesi ya masheikh wa uamsho, hatukuwasikia nyinyi wapambe, mkiyatamka hayo ya Rais kuingilia mhimili mwingine?

Sasa subirini "kiama" chenu leo, wakati wakiki msomi Kibatala, atakavyomvurumishia maswali huyo shahidi wenu wa michongo Urio, hadi atatamani kuikimbia Mahakama!😁
 
Nijuavyo ni kwamba kesi ya uamsho ilikuwa bado haijafika mahakamani. Wale mashehe walikuwa wanashikiliwa huku uchunguzi ukiendelea.
 
Kwahiyo kama kuna kesi yoyote iko mahakamani na inaushahidi hafifu kwa mtuhumiwa basi Rais wa nchi aibuke na kuifuta?!
 
Mboe aeleze nani alimtuma kupanga njama na mikakati ya kihalifu kuvuruga Amani ya Nchi.
Amani na Utulivu wa Nchi ni tunu ya watanzania wote sio tu kiongozi/viongozi hivyo watanzania wote wanao wajibu wa kuilinda na kuitetea Tunu yao ya AMANI na Utulivu, na inapo tokea miongoni mwetu kuivuruga amani ya nchi huyo hatuna msamaha naye.
Mboe atalipia matendo yake mwenyewe.
 
Ni dhahiri sasa kwa kila anayeifuatilia Kesi ya ugaidi ya kina Mbowe, ameshabaini kuwa hiyo Kesi ni ya michongo na mashahidi wanaoletwa hapo mahakamani pia ni wa michongo!

Hivi unawatuhumu watu kwa ugaidi, halafu kila shahidi anayetoa ushahidi hapo mahakamani anaonekana kuwa amepangiwa ya kusema Ili awatie hatiani akina Mbowe?

Inafahamika wazi kuwa Ili Mahakama iwatie hatiani watuhumiwa, ni lazima upatikane ushahidi usio na shaka yoyote Ili watuhumiwa wahukumiwe kwenda jela.

Kwa mujibu wa ushahidi uliokwishatolewa hadi hivi sasa, hakuna ushahidi wowote wa kuwatia hatiani akina Mbowe, bali ni kuendelea kuwatesa kwa kuendelea kuwaweka mahabusu kina Mbowe kwa kipindi kirefu.

Hivi unawezaje kuwaita watu watuhumiwa wa ugaidi wa kulipua vituko vya mafuta, Ili Hali ushahidi uliotolewa hadi hivi sasa, hauonyeshi sehemu yoyote kuwa watuhumiwa hao walipanga njama za kulipua vituo hivyo vya mafuta?

Unawezaje kuwatuhumu watu kwa ugaidi, huku ukiieleza Mahakama, kuwa eti mtuhumiwa wa kwanza Mbowe, alifadhili ugaidi huo kwa kumtumia pesa mtuhumiwa mwingine shilingi elfu 80 tu?

Unawezaje kuwatuhumu watuhumiwa kuwa walipanga kumuua Sabaya, wakati mashahidi wenu wakidai kuwa hakuna sehemu yoyote Kati ya sms walizozi-hack, iliyomtaja Sabaya kutaka kuuawa?

This must be a joke of the year 😁

Kwa wakuu wa Serikali, akiwemo Rais Samia na IGP Sirro kuutangazia Ulimwengu kuwa wamemkamata Mbowe, wakiwa na ushahidi usio na shaka yoyote kuwa Mbowe alipanga njama na watuhumiwa wenzake kufanya ugaidi wa kulipua vituo vya mafuta na kupanga magogo Barabarani kwa lengo la kutaka nchi yetu isitawalike

Tufike mahala ambapo Mahakama zetu zisimuone Rais Samia kama mungu- mtu na zitambue kuwa yeye ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, ambaye anaweza kukosea kwa matamshi yake na matendo yake na zihukumu kwa Haki kwa kuifuta Kesi hiyo ya ugaidi ya akina Mbowe, ambayo imeliletea aibu kubwa Sana Duniani kwa watawala wetu kuweza kuwabambikia Kesi kubwa ya ugaidi
Mimi naona hii kesi ni kama imekuja kuonesha uozo wa ofisi ya DPP na jeshi letu la polisi na kudhihirisha maneno ya TL "wahuni wenye sare za polisi" aidha polisi na dpp wakikuchukia wanakufungulia kesi ya ugaidi, madawa au utakatishaji lengo ni kumtesa mlengwa wao (kambi ya mateso) hata kama wanajua hana hatia "siasa za kukomoana!" ila kupitia kesi hii kuna mambo yanabadilika na watu wanafunguka macho.
 
Mama Samia sio Mwanasheria na hata angekua Mwanasheria bado ingekua vigumu yeye kama Rais kufuatilia mwenendo wa kesi zote/ nyingi kama ambavyo sisi tunavyotaka iwe

Hapa suala la kutafakari ni hili. Nani wanomshauri kuhusu mambo ya kisheria na wanashikilia Jamhuri iendelee na hii kesi? Na kwa madhumuni gani?

Kwa ninavyomjua DPP wa sasa Bwana Sylvester Mwakitalu alivyo smart na mpenda haki(kafuta kesi nyingi sana za hovyohovyo) asingeweza kupeleka kesi ya aina hii mahakamani na akaacha iendelee hivi

Lazima kuna nguvu na msukumo mwingine nyuma yapazia. Yamkini kuna sababu zenye malengo ya kisiasa.

Inawezekana DPP amepewa maagizo na yeye hana hiyari bali kufuata maelekezo hata kama yeye binafsi na hata ofisi yake wanaelewa kua hapo hakuna kesi bali siasa za kuumizana
 
Naomba niweke sawa hili Jambo Viongozi wa Dini walikutana na MH.Rais na kumuomba Atumie Vyombo vyake kumwachia Mbowe na Wenzake

Na Sio AMSAMEHE Mbowe na Wenzake. CHOMBO pekee kilicho ni DPP BUSARA inayotakiwa kutumika ni kama ile iliyotumika KUWAFUTIA KESI wale MASHEHE wa UAMSHO kulikofanywa na DPP
MBOWE sio GAIDI bali MBOWE amebambikiziwa KESI hii KISIASA ili kuidhohofisha CHADEMA hivyo Anaomba Msamaha kwa KOSA gani? ANASAMEHEWA kwa KOSA GANI? MBOWE na WENZAKE WAFUTIWE KESI na DPP bila MASHARTI.

MBOWE sio GAIDI
 
Unazunguka kama mahindi ya popcone kwenye sufulia, DPP akifuta kesi basi hiyo nayo ni huruma.
 
Point tupu
 
Kaka hebu subiri kwanza Mzee wa watu atoke ndio uongee hayo mambo,

Watu akienda kuomba mambo yakianza kuwa mazuri mnaanza kuja na hoja zenu hapa then mambo yanabadilika

Hakuna watu wanashindana na serikali duniani kote

Ww unaandika ukiwa home na familia yako mwenzako tangu mwaka Jana Yuko jela
 
Unazunguka kama mahindi ya popcone kwenye sufulia, DPP akifuta kesi basi hiyo nayo ni huruma.

Hana ushahidi wenye mashiko ya kisheria.Tumewasikia mashahidi wa Jamhuri walikuwa 24 hawakuweza kuwaleta wote walifika 13 tu ambao kwa hakika hawakuwa na ushahidi wa maana.

Hicho kikao cha viongozi wa Dini ni mpango wa Bi Tozo kutaka kujikosha baada ya kugundua kesi haina mashiko.Alimtumia Zitto ikabuma kaona njia ya Viongozi wa dini ni rahisi sana kujiondoa katika aibu ya kubambika kesi.
 
Back
Top Bottom