Hivi Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" gani kutoamuru Kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe ifutwe bila masharti yoyote?

Kwanini unataka Samia avunje sheria kwa kuingilia mihimili mingine?
 
Kwa sasa nchi ya wadanganyike ina mhimili mmoja tuu.ambao ni uraisi unaofanya kazi zote kuanzia kuteuwa wabunge,mahakama,na nk.hakuna uchaguzi bali uteuzi.wananchi wamebaki kama maboya wanaelea tuu .hawajui lolotee
 
Bro rais hana mamlaka ya kufuta kesi inayoendelea,hayo ni mamlaka ya mwendesha mashtaka mkuu,rais anaweza kumsamehe mtu ambae tayari kaisha hukumiwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwani hujui kuwa yeye Rais ndiye aliyeamuru Kesi hiyo ya kubambika ifunguliwe mahakamani?

Kama alikuwa na uwezo wa kuamuru Kesi hiyo ifunguliwe, kwa nini sasa asiwe na uwezo wa kuamuru ifutwe??
 
Tunatakiwa tuwe na msimamo na kile tunachokitaka hata kama kinatuumiza. Rais akiingilia mihimiri mingine tunalalamika, akiacha tunataka aingilie tunajua tunachokitaka kweli?
Rais hatakiwi kuingilia mahakama, tuache kesi iengelee mpaka mwisho,hiyo ndiyo katiba yetu inavyotaka na wanademokrasia wanataka hivyo.
 
Ili mwendelee kumnanga kwamba anaingilia muhimili mwingine??
 
Hivi unawezaje kuwaita watu watuhumiwa wa ugaidi wa kulipua vituko vya mafuta, Ili Hali ushahidi uliotolewa hadi hivi sasa, hauonyeshi sehemu yoyote kuwa watuhumiwa hao walipanga njama za kulipua vituo hivyo vya mafuta?
 
Unawezaje kuwatuhumu watuhumiwa kuwa walipanga kumuua Sabaya, wakati mashahidi wenu wakidai kuwa hakuna sehemu yoyote Kati ya sms walizozi-hack, iliyomtaja Sabaya kutaka kuuawa?

This must be a joke of the year [emoji16]
 
Yana mwisho. Tena mwisho wake utakuwa ni mbaya sana ni suala la muda tu.
 
Wtz,ni kama hatujielewi,Rais ni mhimili mwingine na haupaswi kuingiliwa hiyo ndio maana ya utawala wa Sheria.Samia yupo sahihi.Alafu hiyo Katiba mpya tunayodai ni ya nn?
Majibu unayo mwenyewe acha kuzuga watu hapa.
 
Ndotoni iko hivi
Samia😀PP hiyo kesi ya Freeman ifute mwanangu
DPP:Sawa mama kesho naenda mahakamani kuifuta.
DPP:IGP umepata concern ya mama kuifuta kesi ya kiongozi wa mpinzani
IGP:Hapana sijapata labda niongee na Msuya
IGP:Msuya vipi ulimshauri mama kufuta kesi ya ugaidi.
DG:Kuongozwa na wanawake nao ni tabu sana si tulishamwambia aiche hadi mwisho na yeye ameikubali proposal yetu tumweke Mbowe miaka miwili jela.
DG😀PP usifute hiyo kesi uchague kuifuta au upotee
DPP:MAMA hao jamaa wanasema tusifute kesi
Samia:Sawa mwanangu wewe wasikilize,wao ndo wataalam wenyewe.
 
Unawezaje kuwatuhumu watuhumiwa kuwa walipanga kumuua Sabaya, wakati mashahidi wenu wakidai kuwa hakuna sehemu yoyote Kati ya sms walizozi-hack, iliyomtaja Sabaya kutaka kuuawa?

This must be a joke of the year [emoji16]
Mshana Jr
Ndiyo utambue kuwa nchi hii inaendeshwa kimangumashi!
 
Usicheze na mwanamke mwenye madaraka utapotea.
Wanawake wanaamini wanaume wanawadharau utafuta madaraka Ili kuwakomoa wanaume.
 
Serikali za kiswahili mambo yasiyo tija kwa taifa ndio utilia mkazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…