Huyo uliyemuweka kwenye Avi alisema kuna mhimili umejichimbia sana je ni upi?Muhimili mmoja hauwezi kuingilia muhimili mwingine.
Au siku hizi mmeacha kuhubiri demokrasia?
Yaani unakurupuka na thread ya utetezi JF?mawakili wenu wameshawajulisha kuwa maji yamemfika shingoni sasa mnasaka public sympathy.
Mpaka awe na HOFU ya MUNGU
Mbona huyo huyo Rais Samia aliifuta Kesi ya masheikh wa uamsho, hatukuwasikia nyinyi wapambe, mkiyatamka hayo ya Rais kuingilia mhimili mwingine?Muhimili mmoja hauwezi kuingilia muhimili mwingine.
Au siku hizi mmeacha kuhubiri demokrasia?
Yaani unakurupuka na thread ya utetezi JF?mawakili wenu wameshawajulisha kuwa maji yamemfika shingoni sasa mnasaka public sympathy.
Job Ndugai si alijiuzulu kwa hiari yake?!Mbona Job kawa Jobless ghafla?
Nijuavyo ni kwamba kesi ya uamsho ilikuwa bado haijafika mahakamani. Wale mashehe walikuwa wanashikiliwa huku uchunguzi ukiendelea.Mbona huyo huyo Rais Samia aliifuta Kesi ya masheikh wa uamsho, hatukuwasikia nyinyi wapambe, mkiyatamka hayo ya Rais kuingilia mhimili mwingine?
Sasa subirini "kiama" chenu leo, wakati wakiki msomi Kibatala, atakavyomvurumishia maswali huyo shahidi wenu wa michongo Urio, hadi atatamani kuikimbia Mahakama!😁
Unataka iabike mara ngapi. Huu uwendawazimu wote, bado unaona haijaaibika?Sasa dogo hofu ya nini? Si uiache kesi iendelee hadi mwisho ili serikali iabike?
Mimi naona hii kesi ni kama imekuja kuonesha uozo wa ofisi ya DPP na jeshi letu la polisi na kudhihirisha maneno ya TL "wahuni wenye sare za polisi" aidha polisi na dpp wakikuchukia wanakufungulia kesi ya ugaidi, madawa au utakatishaji lengo ni kumtesa mlengwa wao (kambi ya mateso) hata kama wanajua hana hatia "siasa za kukomoana!" ila kupitia kesi hii kuna mambo yanabadilika na watu wanafunguka macho.Ni dhahiri sasa kwa kila anayeifuatilia Kesi ya ugaidi ya kina Mbowe, ameshabaini kuwa hiyo Kesi ni ya michongo na mashahidi wanaoletwa hapo mahakamani pia ni wa michongo!
Hivi unawatuhumu watu kwa ugaidi, halafu kila shahidi anayetoa ushahidi hapo mahakamani anaonekana kuwa amepangiwa ya kusema Ili awatie hatiani akina Mbowe?
Inafahamika wazi kuwa Ili Mahakama iwatie hatiani watuhumiwa, ni lazima upatikane ushahidi usio na shaka yoyote Ili watuhumiwa wahukumiwe kwenda jela.
Kwa mujibu wa ushahidi uliokwishatolewa hadi hivi sasa, hakuna ushahidi wowote wa kuwatia hatiani akina Mbowe, bali ni kuendelea kuwatesa kwa kuendelea kuwaweka mahabusu kina Mbowe kwa kipindi kirefu.
Hivi unawezaje kuwaita watu watuhumiwa wa ugaidi wa kulipua vituko vya mafuta, Ili Hali ushahidi uliotolewa hadi hivi sasa, hauonyeshi sehemu yoyote kuwa watuhumiwa hao walipanga njama za kulipua vituo hivyo vya mafuta?
Unawezaje kuwatuhumu watu kwa ugaidi, huku ukiieleza Mahakama, kuwa eti mtuhumiwa wa kwanza Mbowe, alifadhili ugaidi huo kwa kumtumia pesa mtuhumiwa mwingine shilingi elfu 80 tu?
Unawezaje kuwatuhumu watuhumiwa kuwa walipanga kumuua Sabaya, wakati mashahidi wenu wakidai kuwa hakuna sehemu yoyote Kati ya sms walizozi-hack, iliyomtaja Sabaya kutaka kuuawa?
This must be a joke of the year 😁
Kwa wakuu wa Serikali, akiwemo Rais Samia na IGP Sirro kuutangazia Ulimwengu kuwa wamemkamata Mbowe, wakiwa na ushahidi usio na shaka yoyote kuwa Mbowe alipanga njama na watuhumiwa wenzake kufanya ugaidi wa kulipua vituo vya mafuta na kupanga magogo Barabarani kwa lengo la kutaka nchi yetu isitawalike
Tufike mahala ambapo Mahakama zetu zisimuone Rais Samia kama mungu- mtu na zitambue kuwa yeye ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, ambaye anaweza kukosea kwa matamshi yake na matendo yake na zihukumu kwa Haki kwa kuifuta Kesi hiyo ya ugaidi ya akina Mbowe, ambayo imeliletea aibu kubwa Sana Duniani kwa watawala wetu kuweza kuwabambikia Kesi kubwa ya ugaidi
Maana yake Rais amuamuru DPP afute ile kesi Jamhuri haina nia kuendelea na mashtaka....Bro rais hana mamlaka ya kufuta kesi inayoendelea,hayo ni mamlaka ya mwendesha mashtaka mkuu,rais anaweza kumsamehe mtu ambae tayari kaisha hukumiwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Unazunguka kama mahindi ya popcone kwenye sufulia, DPP akifuta kesi basi hiyo nayo ni huruma.Naomba niweke sawa hili Jambo Viongozi wa Dini walikutana na MH.Rais na kumuomba Atumie Vyombo vyake kumwachia Mbowe na Wenzake
Na Sio AMSAMEHE Mbowe na Wenzake. CHOMBO pekee kilicho ni DPP BUSARA inayotakiwa kutumika ni kama ile iliyotumika KUWAFUTIA KESI wale MASHEHE wa UAMSHO kulikofanywa na DPP
MBOWE sio GAIDI bali MBOWE amebambikiziwa KESI hii KISIASA ili kuidhohofisha CHADEMA hivyo Anaomba Msamaha kwa KOSA gani? ANASAMEHEWA kwa KOSA GANI? MBOWE na WENZAKE WAFUTIWE KESI na DPP bila MASHARTI.
MBOWE sio GAIDI
Point tupuNaomba niweke sawa hili Jambo Viongozi wa Dini walikutana na MH.Rais na kumuomba Atumie Vyombo vyake kumwachia Mbowe na Wenzake
Na Sio AMSAMEHE Mbowe na Wenzake. CHOMBO pekee kilicho ni DPP BUSARA inayotakiwa kutumika ni kama ile iliyotumika KUWAFUTIA KESI wale MASHEHE wa UAMSHO kulikofanywa na DPP
MBOWE sio GAIDI bali MBOWE amebambikiziwa KESI hii KISIASA ili kuidhohofisha CHADEMA hivyo Anaomba Msamaha kwa KOSA gani? ANASAMEHEWA kwa KOSA GANI? MBOWE na WENZAKE WAFUTIWE KESI na DPP bila MASHARTI.
MBOWE sio GAIDI
Naomba niweke sawa hili Jambo Viongozi wa Dini walikutana na MH.Rais na kumuomba Atumie Vyombo vyake kumwachia Mbowe na Wenzake
Na Sio AMSAMEHE Mbowe na Wenzake. CHOMBO pekee kilicho ni DPP BUSARA inayotakiwa kutumika ni kama ile iliyotumika KUWAFUTIA KESI wale MASHEHE wa UAMSHO kulikofanywa na DPP
MBOWE sio GAIDI bali MBOWE amebambikiziwa KESI hii KISIASA ili kuidhohofisha CHADEMA hivyo Anaomba Msamaha kwa KOSA gani? ANASAMEHEWA kwa KOSA GANI? MBOWE na WENZAKE WAFUTIWE KESI na DPP bila MASHARTI.
MBOWE sio GAIDI
DPP kufuta kesi bila masharti yoyote ni kuonesha walimbambikizia kesi Mhe. MBOWE. Siyo huruma ni aibu kwa serikali ndiyo maana wanasita.DPP kufuta kesi ndio Huruma yenyewe!
Unazunguka kama mahindi ya popcone kwenye sufulia, DPP akifuta kesi basi hiyo nayo ni huruma.