Hivi Rais wa Tanzania anasafiri tu hata kama kuna hatari ya vita muda wowote?

Hivi Rais wa Tanzania anasafiri tu hata kama kuna hatari ya vita muda wowote?

Mifumo ya ulinzi wa rais iko imara na Ina taarifa zote za kiusalama
 
Wewe umeacha kufanya kazi zako za kila siku?Yaani vita vya Ukraine na Urusi ndio vifanye Rais asiende Dubai? Safari za ndege duniani zimesimamishwa?
Unajua geografia ya dunia kweli?
Au upo kwenye blame gang ya kulaumu kila kitu?
 
💪💪💪👍👍👍
 
Huyu mama ni mkwere part II. (Vasco da gama wa kike in action)

Copy and paste..kila kitu.
 
Inavyoonekana awamu hii imeamua kufanya kazi kwa kusafiri nje ya nchi.

Ila bado hali ya uchumi ni mbaya na hakuna ajira kabisa.
 
Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi ? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
Ndo kwanza anakatisha mitaani na uber
Nimeona video huko yuko kwenye kirikuu anapungia watu mikono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom