Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulialia wewe. Vita ipo Ukraine yeye yupo umangani, ni mbali sana.Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi ? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
Nongwa za kijinga ndizo hizi.Ziara yake inahusiana nini na vita?
Hawa ndio watanzania na akili zao za malalamiko mwaka mzima.Wewe umeacha kufanya kazi zako za kila siku?Yaani vita vya Ukraine na Urusi ndio vifanye Rais asiende Dubai? Safari za ndege duniani zimesimamishwa?
Unajua geografia ya dunia kweli?
Au upo kwenye blame gang ya kulaumu kila kitu?
Acha WiVuu.Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi ? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23] wee jamaa fala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutapata wapi mikopo,anatutataftia connection mzeee
mpaka maza ang'atuke walahi hadi kuku tunaowafuga watakua na madeni
Kwani Vita ipo uarabuni au Ukraine na Russia huko
Wwe jiongope tu,ngoja wenye Dunia yao waipige Dunia yote lockdown ya hewa nzito aangani,na kila Mtu abaki hapo alipo hadi hapo hali ya hewa itakapo tulia! Lazima tumuapishe Mpango faster aendelee na kazi huku Nyumbani!! Ya Mungu mengi huwezi jua!!Mifumo ya ulinzi wa rais iko imara na Ina taarifa zote za kiusalama
Tena hilo jina la kati nusu lisomeke Olesendekaa!!Duh jina refuuuuu
Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi ? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
Hakuna mtu anayemjua rais wa Tanzania, au ukiona zile mbwembwe za kulindwa na watu wa usalama ili wapige imprest unaamini rais wa Tanzania ni wa muhimu kwa hivyo? Kwa taarifa yako ni watu wachache sana duniani wanafahamu kuwa kuna nchi inaaitwa Tanzania na mahali ilipo.
Inavyoonekana awamu hii imeamua kufanya kazi kwa kusafiri nje ya nchi.
Ila bado hali ya uchumi ni mbaya na hakuna ajira kabisa.
Sicho nilichomaanisha, kama mambo yakibadilika ghafla na yanaweza who knows ? nchi zinaweza hata kufunga anga zao, atasafiri vipi kurudi kwa mfano ?
Ataruhisiwa tu maana hana madhara yoyote. Inshort hana umuhimu huo unaodhani anao kwenye dunia hii.
Raisi wa nchi lazima asafiriHaofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi ? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
Nadhani umejiongiza vibaya ndugu. Rethink. Vita ya watu inatuhusu nini sisi? Kama kungekuwa na threat kiasi hicho hata hiyo EXPO ingekuwa cancelled. Na ujue hizi Dunia ya tatu hawana option kwenye world peace keeping, wao wanapokea maelekezo tu, kwa hiyo hata Rais wetu akomae bado hana la kutatua katika kulinda mipaka ya nchi yake dhidi ya first world.Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi ? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
Ataruhusiwa na nani kama anga ikifungwa ? Unaelewa maana yake anga ikifungwa ? Ndo maana Viongozi huwa hawasafiri hovyo bila ya sababu maalumu has a wakati wa vita usiotabirika kama huu !