Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziara za nje ya nchi ni sehemu ya majukumu ya kikazi ya Rais..Huyu mama ni mkwere part II. (Vasco da gama wa kike in action)
Copy and paste..kila kitu.
Awamu ya 5 uchumi ulikua vizuri?Inavyoonekana awamu hii imeamua kufanya kazi kwa kusafiri nje ya nchi.
Ila bado hali ya uchumi ni mbaya na hakuna ajira kabisa.
Rais anafungua nchiHaofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi ? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?