min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Yesu anakuja amesema wewe ni jini mkuu😁Mbona sisi ndo tunaenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu anakuja amesema wewe ni jini mkuu😁Mbona sisi ndo tunaenda
Wanataka mwamba aje wamsnitch wamgongelee misumari,hata ningekua Mimi sirudiMbona sisi ndo tunaenda
Hata uzi huu usipoufuta mapema atakuja ku like na software yakeWakuu,ni muda Sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree,Kuna faraja Fulani kupata like,kwamba umeandika kitu chenye maana,lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo,na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote,hili ni gumu kwa kawaida
Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi,maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule,ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani
Mwisho,sijawahi ona comment yake huyu bwana
Anakuja kuchukua watu wake 144,000 waende mbinguni .Kwa nini yesu anakuja?😁😁😁
Waende tu mkuu😁😁Anakuja kuchukua watu wake 144,000 waende mbinguni .
hawaachani hadi kwenye comments wapo pamojaNi mutu na mupenziwe hao. Wanapendana kama Njiwa.
Ujue nawazaga hv siku ya mwisho huko mbinguni wote tunakaaa tunasomewa hukumu wengine watachomwa moto wengine tunakabidhiwa wadada 72 plus 🍻🍻...aiseee ntakunywa pombe sipati pichaYesu anakuja amesema wewe ni jini mkuu😁
Hahahha watoto wadogo nyie tuulize sie😁😁Ujue nawazaga hv siku ya mwisho huko mbinguni wote tunakaaa tunasomewa hukumu wengine watachomwa moto wengine tunakabidhiwa wadada 72 plus 🍻🍻...aiseee ntakunywa pombe sipati picha
Kusema ukwel mimi hizo ahadi zingine hata hazinishawishi ila hii ya mito ya OH imenikosha sanaHahahha watoto wadogo nyie tuulize sie😁😁
Tupo nae mudaHata uzi huu usipoufuta mapema atakuja ku like na software yake
ndale boy ,hata mimi nawaza habari ya hiyo mito🤔Kusema ukwel mimi hizo ahadi zingine hata hazinishawishi ila hii ya mito ya OH imenikosha sana
Mamlaka za mbinguni wangetupa demo aiseee mm nabadilika tena sitaki 72 apana nipewe wawili tu afu 🍻🍻7/24 uhakikandale boy ,hata mimi nawaza habari ya hiyo mito🤔
Hayo ndio mambo sasa mkuuMamlaka za mbinguni wangetupa demo aiseee mm nabadilika tena sitaki 72 apana nipewe wawili tu afu 🍻🍻7/24 uhakika
Mi ntakaa ndani ya pipa la pombe,maana najizuwia Sana huku dunianiUjue nawazaga hv siku ya mwisho huko mbinguni wote tunakaaa tunasomewa hukumu wengine watachomwa moto wengine tunakabidhiwa wadada 72 plus 🍻🍻...aiseee ntakunywa pombe sipati picha
Mi najenga karibu na mto kbs nikiamka tu naishi nayo Lita kadhaaMi ntakaa ndani ya pipa la pombe,maana najizuwia Sana huku duniani
Pepo ipi😄Mambo ndio hayo sasa mimi huko peponi ni kupumzika tuu
😂😂😂Huyo jamaa hata niandike us*ng* ananipa like toka mwaka jana mwanzoni. Sijui ni Tiss anataka aniteke