Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Huyu jamaa sio binadamu ni somesort of machine inayolike kila kitu humu jf iwe usiku asubuhibau machana kiufupi raraa reree ni roboti kama yunus.
Imenikumbusha kuna mwamba alikuwa anaitwa Jose everest yeye ilikuwa kila mada lazima comment yake iwe ya kwanza.
Ila naamini sio Robot maana huwa anatoa comment pia kwa baadhi ya mada, nadhani huwa akipata notification tu anazama na kugonga like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…