Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Basi huyo raraaereree aje pm nimueleze kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hanaga shida na mtu, apewe maua yakeWakuu,
Ni muda sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree, kuna faraja Fulani kupata like kwamba umeandika kitu chenye maana lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote hili ni gumu kwa kawaida
Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani
Mwisho sijawahi ona comment yake huyu bwana
Aje na CVBasi huyo raraaereree aje pm nimueleze kitu
Aje nataka kumwambia kitu raraaerereeAje na CV
Unataka umchape ma proverbsAje nataka kumwambia kitu raraaereree
Nimewahi kuona moja na watu walimshangaa saanaWakuu,
Ni muda sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree, kuna faraja Fulani kupata like kwamba umeandika kitu chenye maana lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote hili ni gumu kwa kawaida
Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani
Mwisho sijawahi ona comment yake huyu bwana
Raraa rareee ukuje kwa huku like lako linahitajika1🫠Aje nataka kumwambia kitu raraaereree
Raraa reree ametisha!raraa reree Vs mkwepu jr nani mkali wa like?
poa mrembo ngoja nije nahii I'd Yangu nyingine.Aje nataka kumwambia kitu raraaereree
Sikutaki wewepoa mrembo ngoja nije nahii I'd Yanga nyingine.
huku nagawa like na id maalumu ya like
hii ni id yangu nyingine ile unayoipenda natumia kugawia like mremboSikutaki wewe
Kumbe mimi ni wanyongeza🤣mkuu raraa reree usipite bila kunipa like hapa nyongeza na min -me
Mwanaumke wa mithali 😚Aje nataka kumwambia kitu raraaereree
mada ni ya raraa sasa nimeona nisikuache😂Kumbe mimi ni wanyongeza🤣
Don't take things too serious bro. Live your life and feel freeWakuu,