Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

enhee, aje mpigane mkuu, kataa dharau [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaweza kumiliki mark x unashindwa vipi kuwa na mjengo mkali hapa town

Bado mtoto mark x 15m to 18m.unapata

Gharama ya jengo la chini kabisa ni 45m, low cost housing

Jengo la maana linaanzia 250m


Ushajenga?
 
Unajua bei ya mark x bwana mdogo??.utaabika bure,fanya research,,nyumba nzuri haiwezi hata kufika kwenye renta kwa hiyo bei ya mark x..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibishani na kula kulala. Ukikua utajua. Nyumba nimejenga na imenigharimu zaidi ya milioni 300 sasa hapo hivyo vi mark X vyako si ningefungua yard kabisa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa hiyo wewe una nyumba ya mil 300?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa hiyo wewe una nyumba ya mil 300?
Unafikiri mimi ni kapuko mwenzako? nina nyumba ya Zaidi ya milioni 300 na pia nina nyumba nyingine za kawaida 2 ambazo sio chini ya milioni 100 kila moja.

Sikutaka nijieleze yote haya ila nakwambia ili ujue humu kuna watu tofauti wengine tumeanza na Darhotwire ya IPP tukahamia Jambo Forum na sasa tuko JF sio watoto kama unavyofikiri na sio makapuko kama nyie watoto wa juzi

Toka nilivyoona mnaongelea Mark X kama gari nzuri sasa V8 mtasemaje?
 
Kupata vichekesho kama hivi tuma neno FUNZA MPUUZI kwenda na 0000000 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Umu ni watu wa kale tuu ndo wanabishana wenye pesa zao wengine acha tupite pembeni dah,

Hongeleni kwa mafanikio mliyo yafikia wengine bado sana, connection zimegoma

Ila mavoko dah amezaliwa kuwa funzo kwa kizazi hichi
 
Huyo bwana mdogo bado hajamaliza hata chuo,wala usimshangae..anadhani nyumba nzuri inajengwa kwa milioni 15

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu wako alipatashida kukufundisha alafu pia uwe unasoma vizuri comment ya mtu kuliko kucomment bila kuelewa sijasema kwamba hela ya mark x unaweza kununua nyumba au kujenga nyumba nilichomaanisha Mimi kwanini ununue Toyota mark x ambayo ni 25m why don't you buy vits alafu hela inayobakiwa ukawekeza kwenye ujenzi wa nyumba?Mtu Kama ununua gari la 25m means unajiweza unanunuaje gari la Bei ya juu wakati hata nyumba huna?This is my point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…