Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Huyo mama Che ni mshamba tu kama alimind kuwekwa ofisini for 10 minutes, Kuna watu ni Humble sana akiwemo Mzee Pinda very decent
Nadhani ni hulka zao tu.

Ila tusiwalaumu Wanawake, kawaida Mwanamke akikosa kusuguliwa huwa wanakuwa na hasira kali kuliko Nyati aliyejeruhiwa na Risasi.

Na wale wa familia bora huendelea kutaka huduma hata akiwa na miaka 50, huenda huyo Mama naye alikuwa Muhanga wakati huo 🤗
 
Duh!!..Sawasawa
 
Haiwezi,manake wanaopewa madaraka makubwa wanawake ni vichomi,vyeti ungaunga na brainless,sababu ya vy.uupi
So tuendelee tu,tutafika lakini ,one day yes🙏
Mungu asaidie siku moja mmbadirike.

Mkishindwa tutawatumia Upepo wa Kisulisuli 🤗
 
Hapana sikubaliani na wewe ingekuwa girlfriend sawa ila mkeo wa ndoa aliwe wewe ndio uishi sasa hapi uwanaume wako upo wapi? Wanawake wote hawa waliojaa ina maana atakuwa anapenda kulelewa huyo mzee wako
 
Msoga huyo si Diamond haoni ndani?
Huyo mzee mpenda chini sana tu mbona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…