fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Kitambo sana cc tunarudiaKumbe haya mambo ya kuhonga vyeo yalianza kitambo[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambo sana cc tunarudiaKumbe haya mambo ya kuhonga vyeo yalianza kitambo[emoji1787]
Nnni anamtongoza kigagula huyo kachawi kashirikina kadini ngozi kavu nani akatakeKumbe amezeeka sasa.
Lakini mbona Juzi alitoa thread akitaka Wanaume wamtongoze.
Sasa akitongozwa na Kumkubalia Kijana wa miaka 30 hadi 40 si atamuua Bibi wa Watu?[emoji2957]
Masasi walikuwa wanamwita Mchawi. Kumbuka mama yake na dada zake waliuawa kwa kuvamiwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi kwamba wanazuia mvua isinyeshe. Poa ya Ben ni kwamba alikuwa boarding shule kwa wakatoliki kule Ndanda. Angekuwa home siyo ile na yeye angeuawa na wanakijiji. SASA KATIKA MAZINGIRA HAYO UNEJENGA KWELI NYUMBANI? Ben amejitahidi angalau kujenga hata kale ka nyumba ka mzee wake pale LUPASO. Mimi nisingejenga hata banda la kuku karibu na watu wasiokuwa wakitupenda.Wakamsahaulisha kujenga kwao Masasi.
Akaona Bora awafuate karibu na kwao akajenga TANGA WAJA LEO WARUDI ....
Wamakua ndivyo walivyo.Za ndaaaani sana zinasema mzee alizira kumpiga pipe bibie, na badala yake akaendelea kutafuna watoto wadogo wakimsuuzia rungu kama kawa.
By the way BM alikua mla bata mwanzo mwenga alloo....😊
Wale wa kiume nawaonaga sana kunduchi na ununio. Yule anaeuza vyupi mitandaoni ni ndgu na huyu mama.?Hii ya Ardhi nakubaliana na wewe Mkuu...
Na sehemu alizonazo ni zile Potential haswa...
Imagine kila Mtoto wake amempa eneo la kuishi Masaki au Mikocheni huko...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiImagine BM alivyokuwa anaongea yupo serious vile kumbe alikuwa mchepukaji[emoji38][emoji38]
Yaani mi nasema kila siku wanawake tutafute Hela,,yaani ukiwa na Hela huna time na mambo ya kucheatcheat maana wanawake mara nyingi cheating zinatokana na Uchumi mmbovu,mtu anajitia Muha ga huku moyoni anahukumiwa.kabisa..mwanamke ukiwa na hela hamu hamu sa kijinga zinajifia..uwe huna sasa😆
Hahaha..............inabidi apate mtu wa kumpa Kampani ili kumuondoa na upweke....... ila vyema awe Mzee mwenzie, akijiroga amchukue Kijana atapata tabu sana maana Vijana ni wataalamu wa Vumbi la Kongo 😅😅Nnni anamtongoza kigagula huyo kachawi kashirikina kadini ngozi kavu nani akatake
Alikuwa anajipa promo tu.
Ila hakuna MTU mwenye time huko PM.
Hata magaidi wenzie hawana habari nae
Wanawake vipanga na tunaojitambua ni wachache
Wanarusha maji,lazima uone picha kaliBM na Wachaga!!
Eeh kumbe unaombaga msamaha ?M
Sijajuwa, anisamehe sana, maana naona jina siyo la kiume nikafikiri wale wa rangi rangi.
Nisamehe ssana Ironbutterfly sijajuwa kama wewe ni binti.
Thousand apologies.
Ni mtt wake wa kwanzaWale wa kiume nawaonaga sana kunduchi na ununio. Yule anaeuza vyupi mitandaoni ni ndgu na huyu mama.?
Alikosea Sana Basi wanamheshimu, waliotakiwa kukwambia huu uzembe ulitakiwa kuondolewa na mme wake akiwa madarakani🤣😂aliambulia mafao yake toka kwa Ben kabla hajafa
Anna hajampa hata thumni
Kwanza anaanzaje kumface Anna?
Ana ni mkali aiseeh alikujaga ofisini enzi hizo Niko junior, boss akanambia kalete jalada lake, sasa si mke wa Rais mstaafu, kwahiyo wakijaga maofisini hao, afisa unageuzwa secretary na masjala ghafla. Sasa nimefika masjala, dada wa masjala ananizingua, nikasubiri kama dk 10, ndo napeleka jalada, alooh aliniwashia Moto, kidogo Nilie, boss akampoza, akamwambia ndo anaanza kazi, katoka chuo juzi msamehe tu🤣
Wanawake ambao hawana wa kuwakuna Huwa visirani muda wote ulaya wanaitwa "KAREN"Hahaha..............inabidi apate mtu wa kumpa Kampani ili kumuondoa na upweke....... ila vyema awe Mzee mwenzie, akijiroga amchukue Kijana atapata tabu sana maana Vijana ni wataalamu wa Vumbi la Kongo [emoji28][emoji28]
Ikikupendeza, elezea kidogo kuhusu Cleopatra the Queen of SouthHaiwezi kuwa
Wanawake type ya Cleopatra,the queen of south,tuko wachache
The rest ni masega
Malkia anakuwaga mmoja tu🙏
Eti Karen 😁😁😁🙌Wanawake ambao hawana wa kuwakuna Huwa visirani muda wote ulaya wanaitwa "KAREN"
This witch is typical "AFRICAN KAREN"
Mtu anapata pakukojolea alafu anazira...😳Wamakua ndivyo walivyo.
Mimi nina miaka 38 ila majuzi kazaliwa mdogo wangu. Mwanangu wa mwaka 2016 atakuwa anamwita huyu baba mdogo. Imagine baba mdogo kazidiwa miaka 7 na mwanae. Mtoto wa Dada yangu aliyezaliwa mwaka 2002 naye atamwita mjomba. Yaani sisi madingi tunazingua kinyama.Inaonekana suala la Sisi Wanaume kuridhika na Mwanamke mmoja limekuwa changamoto sana.
Ni vile wengine we keep our Profile low, zikija kuwekwa wazi itakuwa balaa 😅
Hata Mwendazake naye alikuwa mpenzi wa hayo Mambo, ukikutana na ile cycle ya Ikulu huwa wanasema.
Huyo Msoga naye ilikuwa ni vile vile
Wanaume tukakanyage mafuta tu huenda ikasaidia, maana hadi kuna Wazee wa miaka 70+ lakini bado wanahangaika na pussy cat tu 😆
Moi hakuwa na mke?Wabongo tunalazimishana sana vitu.. mbona Kenya mwamba Daniel Toroitich Arap Moi katawala nchi 23 years akiwa mseja?