mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Acha utani.
Be serious.
Be serious.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roberto carlos ni beki no. 3 wa wakati wote.
Acha sigara wewe unaongea utafikili umekatika kichwa,Huyu Kalos kachezea majimaji na Prison.
Kabisa. Yaani anafananisha hiece na treni. Huyo Marcelo anazidiwa na hata Riise.Kwa dharau uliyoionesha kwa Roberto Carlos embu jichagulie adhabu aisee.
Ogopa mtu anacheza no 3 vilevile ana overleap, na magori kafunga mengi tu, huyo ndio Carlos bwana,Bado hajatokea kama karlos
Unapolinganisha Carlos na Marcelo ni sawa na kumlinganisha Raisi wa nchi na Raisi wa TFF.Naomba wadau nisaidie nani ni beki bora kati ya hawa wachezaji wawili
Umeshawahi kumsikia beki anaitwa Paulo maldini,huyu ndie beki bora wa kushoto kuwahi kutokea duniani
acheni vituko kuchezea matobo kwa messi si udhalilishaji bali honour!kale kajitu hataree!huyu boya marcelo aliyepigwa chenga na messi mpaka kalamba nyasi..!
Ila mm era za sasa hivi siamini sana kama kipindi kileeee....kabumbu lilikuwa linasakatwaa wacha kiongozKila mtu n bora kwa kizazi chake....Huwez fananisha era tofauti hata siku moja