The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
R
Carlos na paulo maldinRoberto Carlos is the best ever
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carlos na paulo maldinRoberto Carlos is the best ever
Bora ungelinganisha robert carlos , paul maldin au lilian thuram hapo nimemwacha lizarazu pembeniNaomba wadau nisaidie nani ni beki bora kati ya hawa wachezaji wawili
Si kweli , vp kupiga kros ?Marcelo amemzidi Roberto Carlos kwa kila kitu kasoro mbio na mashuti.
Naomba wadau nisaidie nani ni beki bora kati ya hawa wachezaji wawili
Siyo kweli hii ni yako umetunga tuu
Messi alikutana na Carlos aliyekuwa mwishoni mwa carrier.....angekutana na Carlos aliyekuwa on top of his game, world cup 1998, 2002, 2006....story ingekuwa tofauti....Hahaa kumbe alishamgeuza beki Bora wa kushoto, sasa kina marcelo kumbe anawaonea tu [emoji23]
Confederations cup 1997 hiyo....Nikikumbuka freekick ile aliyopiga kwenye mechi ya kirafiki kati ya BRAZIL VS FRANCE. Roberto Carlos mpe heshima yake kwanza sioni cha ajabu alichofanya marcelo hadi kumfananisha na mzee wa madongo huyo mtu achana nae hata marcelo anajua kuwa hamfikii Carlos.
Carlos ndio alikua beki aliyeleta mageuzi kuwa unaweza kuwa beki na kushambulia same time, alikuwa na kila kitu hawa wengine wanapita njia aliyopita. Marcelo sio mbaya ila hamfikii Carlos. Marcelo udhaifu wake wakiwa wanashambuliwa ni mzuri sana ikiwa team wana control game wanashambulia. ndio maana German walijuwa udhaifu wake zile goal 7 karibia zote walipitia kwake ilikuwa aibu. Carlos alikuwa beki same time mshambuliaji. Carlos alileta mageuzi makubwa kwa mabeki yeye na Cafu.Marcelo amemzidi Roberto Carlos kwa kila kitu kasoro mbio na mashuti.
Falsafa ya wingback ilipata nguvu kipindi hicho....unakuwa na beki anayepanda kusaidia mashambulizi..Carlos ndio alikua beki aliyeleta mageuzi kuwa unaweza kuwa beki na kushambulia same time, alikuwa na kila kitu hawa wengine wanapita njia aliyopita. Marcelo sio mbaya ila hamfikii Carlos. Marcelo udhaifu wake wakiwa wanashambuliwa ni mzuri sana ikiwa team wana control game wanashambulia. ndio maana German walijuwa udhaifu wake zile goal 7 karibia zote walipitia kwake ilikuwa aibu. Carlos alikuwa beki same time mshambuliaji. Carlos alileta mageuzi makubwa kwa mabeki yeye na Cafu.
Christian panucci naye alikuwa vizuri ingawa hamfikii carlosFalsafa ya wingback ilipata nguvu kipindi hicho....unakuwa na beki anayepanda kusaidia mashambulizi..
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Wote kila mmoja kwa wakati wake. Anachofanya Marcello kinafanana na alichofanya Roberto enzi zake. Tofauti moja labda Marcello hafungi sana kwa mashuti ya mbali bali katika 18 hasa kwa kuwala chenga mabeki.Roberto ni kiki safi za mbali.Naomba wadau nisaidie nani ni beki bora kati ya hawa wachezaji wawili