Hivi Robert Carlos na Marcelo nani ni beki bora wa kushoto

Hivi Robert Carlos na Marcelo nani ni beki bora wa kushoto

Nikikumbuka freekick ile aliyopiga kwenye mechi ya kirafiki kati ya BRAZIL VS FRANCE. Roberto Carlos mpe heshima yake kwanza sioni cha ajabu alichofanya marcelo hadi kumfananisha na mzee wa madongo huyo mtu achana nae hata marcelo anajua kuwa hamfikii Carlos.
Confederations cup 1997 hiyo....
....mashine ilizunguka ukuta, Barthez akashtukia nyavu zinacheza...

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Marcelo amemzidi Roberto Carlos kwa kila kitu kasoro mbio na mashuti.
Carlos ndio alikua beki aliyeleta mageuzi kuwa unaweza kuwa beki na kushambulia same time, alikuwa na kila kitu hawa wengine wanapita njia aliyopita. Marcelo sio mbaya ila hamfikii Carlos. Marcelo udhaifu wake wakiwa wanashambuliwa ni mzuri sana ikiwa team wana control game wanashambulia. ndio maana German walijuwa udhaifu wake zile goal 7 karibia zote walipitia kwake ilikuwa aibu. Carlos alikuwa beki same time mshambuliaji. Carlos alileta mageuzi makubwa kwa mabeki yeye na Cafu.
 
Falsafa ya wingback ilipata nguvu kipindi hicho....unakuwa na beki anayepanda kusaidia mashambulizi..

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Naomba wadau nisaidie nani ni beki bora kati ya hawa wachezaji wawili
Wote kila mmoja kwa wakati wake. Anachofanya Marcello kinafanana na alichofanya Roberto enzi zake. Tofauti moja labda Marcello hafungi sana kwa mashuti ya mbali bali katika 18 hasa kwa kuwala chenga mabeki.Roberto ni kiki safi za mbali.
 
Back
Top Bottom