Hivi Robert Carlos na Marcelo nani ni beki bora wa kushoto

Hivi Robert Carlos na Marcelo nani ni beki bora wa kushoto

Roberto carlos ni bora zaid. Carlos alikuwa mzuri katika kushambulua na kukaba pia, alikuwa ni beki mgumu ama tuseme kisiki..

Marcelo ni mzur zaidi katika kushambulia kuliko kukaba, si beki mgumu.

Kwangu carlos ni beki bora zaidi.
Bora angelimfananisha na marcos Alonso
 
a7fd6c793ce32bba466280976e7d4bc1.jpg
Messi vs Carlos

5f05341d464162caeeafdfbe316fec00.gif
 
Kisa makosa ya el classico ya juzi, ndio umekuja na hili swali. Wabongo nazi kweli, wanapenda kubishania upuuzi!!
 
Nikikumbuka freekick ile aliyopiga kwenye mechi ya kirafiki kati ya BRAZIL VS FRANCE. Roberto Carlos mpe heshima yake kwanza sioni cha ajabu alichofanya marcelo hadi kumfananisha na mzee wa madongo huyo mtu achana nae hata marcelo anajua kuwa hamfikii Carlos.
 
Naomba wadau nisaidie nani ni beki bora kati ya hawa wachezaji wawili
Mkuu IFRS achana na Roberto Carlos kabisaaa
Kwanza hakua wa sayari hii maana alikua na uwezo wa kuachia fataki kali sana kutoka Chato hadi Feri na akaliwahi shuti hilo kwa speed alokua nayo ama akaachia fataki kutoka taa za kuongozea magari pale Chato hadi taa za kuongozea magari pale Ubungo na akaliwahi

Huyu Marcelo ni aina ya wachezaji nyoronyoro km kina Poleeeeeepoleeee
 
Back
Top Bottom