Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Bora angelimfananisha na marcos AlonsoRoberto carlos ni bora zaid. Carlos alikuwa mzuri katika kushambulua na kukaba pia, alikuwa ni beki mgumu ama tuseme kisiki..
Marcelo ni mzur zaidi katika kushambulia kuliko kukaba, si beki mgumu.
Kwangu carlos ni beki bora zaidi.