Hivi Robert Carlos na Marcelo nani ni beki bora wa kushoto

Hivi Robert Carlos na Marcelo nani ni beki bora wa kushoto

Stail za uchezaji wao ni tofauti sana.

Carlos ni mzuri katika haya.
1. Ana speed kuliko marcelo
2. Ana nguvu kuliko marcelo
3. Good defending skills kuliko marcelo


Marcelo ana sifa hizi.

1. Poor defending skills
2. Good attacking skills kuliko carlos
3. Katika show game yupo vizuri kuliko carlos

Inategemea wewe unavutiwa na nini toka kwa mchezaji.

Ila kwa kuwa jukumu la msingi la beki ni kuzuia mashambulizi. Then carlos ana sifa zote na anamzidi marcelo.
 
a7fd6c793ce32bba466280976e7d4bc1.jpg
 
Back
Top Bottom