Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

Kwenye hili mimi ni "tabular rasa" kabisa lakini nanachoweza kusema ni kuwa wewe utakuwa ni mmojawapo wa watu waliokuwa wanasababisha watoto wa shule ya msingi wanatoana ngeo mashuleni
Wewe unataka wapigane? yaani una hamu wapigane? Kitu ambacha watu wote dunia nzima wanaomba Mungu kisitokee, wewe ndiyo unatamani kitokee?
Ni vile Russia amejidai sana baada kuona kweli akaanza kuchemka
 
Hukutotokea vita kuu ya 3 kitakachotokea ni mrussi kufundishwa adabu for once and for all .. itakuwa vita ya ulaya tuu maana wazungu hawana makoloni tena
Huo ni utani Sasa!
Russia siyo Afghanistan au Iraq! Hata Marekani na NATO wanajua hilo kuwa Russia ni habari nyingine.
Sasa kama US na NATO wamekimbia Afghanistan,kwa Russia Ndiyo wataweza?
 
afighastan hamna mtu aliyewahi ivamua akashinda zaidi ya genghis khan hata russia alivaia afighanstan chamoto alikiona
 
China hawezi pigana vita yoyote
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
wazungu watamtumia india kumchachafya mchina huku kuna korea na japan zinapinga vurugu za china. China yeye alichofanikiwa kuishika masikio afrika
India juzi tu kanyooshwa na mchina,hawana hamu.....Japan hawezi lolote hadi bwana yake amsaidie maana alibakiza vikosi vichache sana baada ya kutandikwa vita ya 2 nae hafagilii vita kama mjerumani......korea ndo kila siku analialia kama mjapan kiduku akiwajambisha
afighastan hamna mtu aliyewahi ivamua akashinda zaidi ya genghis khan hata russia alivaia afighanstan chamoto alikiona
Vietnam je
 
Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani???

Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo lao litatimia kwa nilivyofahamu mimi.

Lakini kuna maswali najiuliza hasa kwa Russia., Ivi baada ya Marekani na NATO kuwahi kuingia Ukraine ki-ulinzi na kuwa tayari kujibu mara Urusi ikivamia Ukraine Na hata jana Biden amesema watajibu thabiti kama Russia akijaribu kuvamia tu- Ivi Russia ndio imekuwa na hofu kubwa kukamilisha adhma yake?

Tuseme ni sahihi kusema Russia analiogopa Jeshi la NATO lakini na Marekani licha ya majivuno mbali mbali ya Putini? mara nyingi nikiangalia Televisheni CNN naona bado Russia wanailalamikia Marekani kutokuwa tayari kwa mazungumzo,

Na Kremlin mara kadhaa namsikia akisema hawana nia ya kuvamia Ukraine ivi ni kwanini hasa kauli hizi? Kuna nini nyuma ya Pazia la Russia?

Kama hawana nia ya kuvamia wao wanafanya nini mpakani mwa Ukraine? au Tuseme wanalinda mpaka wao tu.

Earlier Russia walisema ni vita vita vita tu lakini kwa nini wamebaki mpakani wansubiri nini?

Nafkiri wadau hemu tujikiteni hapa kidogo tupate dondoo zenu katika hili
Russia ilikuwa kwa siku mbili haijaingiza jeshi lake kubwa yaani mainforce...waliingiza ndani ya Ukraine special forces tu..hiyo ni strategy kamambe...ila walikuwa wanapiga kwa kutumia makombora ya mbali...Jana au Leo ndiyo main force inaingia Kiev na miji mingine yote...hapo shughuli ndipo itaisha
 
Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani???

Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo lao litatimia kwa nilivyofahamu mimi.

Lakini kuna maswali najiuliza hasa kwa Russia., Ivi baada ya Marekani na NATO kuwahi kuingia Ukraine ki-ulinzi na kuwa tayari kujibu mara Urusi ikivamia Ukraine Na hata jana Biden amesema watajibu thabiti kama Russia akijaribu kuvamia tu- Ivi Russia ndio imekuwa na hofu kubwa kukamilisha adhma yake?

Tuseme ni sahihi kusema Russia analiogopa Jeshi la NATO lakini na Marekani licha ya majivuno mbali mbali ya Putini? mara nyingi nikiangalia Televisheni CNN naona bado Russia wanailalamikia Marekani kutokuwa tayari kwa mazungumzo,

Na Kremlin mara kadhaa namsikia akisema hawana nia ya kuvamia Ukraine ivi ni kwanini hasa kauli hizi? Kuna nini nyuma ya Pazia la Russia?

Kama hawana nia ya kuvamia wao wanafanya nini mpakani mwa Ukraine? au Tuseme wanalinda mpaka wao tu.

Earlier Russia walisema ni vita vita vita tu lakini kwa nini wamebaki mpakani wansubiri nini?

Nafkiri wadau hemu tujikiteni hapa kidogo tupate dondoo zenu katika hili
Ukraine wametosa sigh za mitaa Unaambiwa wana jeshi wanawauliza ukraine njia Hii ya wapi .
 
Back
Top Bottom