Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

Alitakiwa kujitathmini kabla, Gesi yake atamuuzia nani?
Marekani sio ya kuishtukizia kwenye mapambano, marekani alijaribu na kufanikiwa kwa kiwango kikubwa kuitawala dunia kiuchumi muda mrefu sana
Gesi Russia atauza yote china , juzi wamesign ku supply gesi kwenda china kwa miaka 30
 
Alitakiwa kujitathmini kabla, Gesi yake atamuuzia nani?
Marekani sio ya kuishtukizia kwenye mapambano, marekani alijaribu na kufanikiwa kwa kiwango kikubwa kuitawala dunia kiuchumi muda mrefu sana
Mchina tayari anaimendea hio gesi huko wakizingua mrusi hana hasara
 
Mbwembwe Tu, ENERGY, NISHATI Europe wanamtegemea Sana Mrusi,
Jamaa mrusi ana leverage kubwa!
Hakuna Vita! Kuna mieleka Tu ya kina John Cena na the Rock!
Mijitu mikubwa inapigana na huoni damu
Iyo Energy anayo mrusi dunia nzima?kama akizidi kuzingu ni Faida kina Saudia.iraqa. sababu ya kutumia ni urahisi na gharama tu mkuu.Bado Urusi ana vingi vya kupoteza.
 
Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani??? sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo lao litatimia kwa nilivyofahamu mimi.

Lakini kuna maswali najiuliza hasa kwa Russia., Ivi baada ya Marekani na NATO kuwahi kuingia Ukraine ki-ulinzi na kuwa tayari kujibu mara Urusi ikivamia Ukraine Na hata jana Biden amesema watajibu thabiti kama Russia akijaribu kuvamia tu- Ivi Russia ndio imekuwa na hofu kubwa kukamilisha adhma yake?

Tuseme ni sahihi kusema Russia analiogopa Jeshi la NATO lakini na Marekani licha ya majivuno mbali mbali ya Putini? mara nyingi nikiangalia Televisheni CNN naona bado Russia wanailalamikia Marekani kutokuwa tayari kwa mazungumzo, Na Kremlin mara kadhaa namsikia akisema hawana nia ya kuvamia Ukraine ivi ni kwanini hasa kauli hizi? Kuna nini nyuma ya Pazia la Russia? Kama hawana nia ya kuvamia wao wanafanya nini mpakani mwa Ukraine? au Tuseme wanalinda mpaka wao tu.

Earlier Russia walisema ni vita vita vita tu lakini kwa nini wamebaki mpakani wansubiri nini?

Nafkiri wadau hemu tujikiteni hapa kidogo tupate dondoo zenu katika hili
Hii ni mbinu ya kutafuta position ya kufsnya negotiations,
Ili ufanye majadiriano ukiwa kwenye nafasi ya nguvu,inabidi ujenge mazingira ya kuweza kufanya negotiations ukiwa kwenye strong position,na hiki kitendo Cha Urusi kupereka vikosi na dhana za kivita kwenye mpaka na Ukraine,kinaiweka magharibi na NATO kwenye presha kubwa,kiasi kwamba Ili kufsnya majadiriano na Urusi kuzuia vita,lazima na maghsribi na NATO na wenyewe wajipange au wakubali matakwa ya Urusi.
 
Kwan aliyeweka jeshi mpakani mwa mwenzie ni nan? Sipo upande wa mabeberu ila Russia anazingua sana kweny Inshu za Ukraine , usalama hauwekwi vile ajifunz kwa wenzie akina Iran , USA , China na Israel , kupeleka jeshi kweny mpaka wa mwenzio huo ni ukorofi , yaan Ukraine aogope kujifanyia maamuzi ya kitaifa kisa usalama wa Russia , si ubinafsi huo ? kwan Ukraine haiko huru ? Kiufupi madai ya Russia ni ya kipuuz sana
Sure cheki hapo chini.demand za kipuuzi kabisa
Screenshot_20220205-101648_YouTube.jpg
 
Inaonekana wewe ni mweupe kwenye masuala haya ya russia_ western relation.......

Rejea CUBAN MISSILE CRISS....
ndipo utapata majibu kuwa RUSSIA ana haki ya kujilinda dhidi ya NATO
Jama andika fact we unaleta ulimbwende
 
Madai ya Russia yako wazi, kwamba ni marufuku Ukraine kujiunga na NATO, pia kuondoa military practices za USA na EU nchini Ukraine
Sasa hivyo ni sawa kuingilia mambo ya ndani ya Nchi huru?
 
Kama Mrusi aliweza kumzima Hitler hakika katika hii dunia hakuna wa kumtisha, kuhusu uchumi kuna watu huwa wanaishusha sana Urusi lakini wanajifanya kwamba hawajui kuwa Urusi Ipo vizuri katika supply ya product mbalimbali dunian na yupo kwenye rank za juu kabisa Lakini kubwa kuliko yote nikwamba KUHUSU VITA RUSSIA wapo vizur na wanafaham kuwa NATO iliundwa kwa ajili ya kupambana ba NATO hivyo matayrisho yake ni ya level ya kupambana na dunia.

Kuhusu mzigo wa silaha alizonazo PUTIN magharibi wanafahamu vyema kuwa pale kuna kisiki cha mpingo
Si amshukuru marekani Wanazi walisha fika hadi moscow na wajapani Walishaa mshuhurikia upande wa mashaliki.product hipi iyo ya juu inayo zalishwa Russia mkuu?
 
UKRAINE kama akijiunga na NATO halaf RUSSIA asimpe kichapo naachana na kutumia JF inyeshe mvua liwake jua UKRAINE haruhusiwi kujiunga na NATO itaibuka hata vita yatatu ya dunia ila UKRAINE hataruhusiwa kujiunga na NATO hata kwa sekunde
Mkuu mbona mbona hayo madai yasha kataliwa na N.A.T.O russia analembua tu mpakan.
 
Watapata, maana US kishaongea na Qatar ili i supply gesi ulaya. Lakini itakua expensive,, maana hayo yataenda kwa meli na sio kwa pipeline,,, bei ya vitu itashoot na inaweza kupelekea revolution ulaya kote,
Pia Russia wanaweza kuzihujumu meli zinazopeleka gesi ulaya,,
Wazungu hawajazoea kupikia mkaa au kuni
Kwahiyo bila Gas hakuna nishati nyingine nje ya mkaa na Kuni?

NGOJA NIKUPE SOMO KIDOGO.

Udhaifu wa nchi za Ulaya hasa Ujerumani ni Siasa zake ambazo zimekuwa za Kidemokrasia kupindukia mpaka Mambo muhimu ambayo yanahitaji uamuzi wa haraka lazima walumbane Kwanza Bungeni tofauti na nchi za Kijamaa na Kikomusti Kama China na URUS ambapo Marais huamua lolote bila kuathiri Siasa zao za kuchaguliwa tena. Na huu ndio udhaifu mkubwa hata wa Marekani kwenye kuchukua maamuzi huwa ni mpaka Mlolongo Mrefu Sana.

Baada ya ajari ya Vinu vya Nyuklia vya Chernobyl enzi za Usoviet, kuliibuka vyama vingi nchi Ugerumani ambavyo vilipinga matumizi ya nishati za Nyuklia na Makaa ya Mawe barani Ulaya. Chama Kama Cha GREEN PARTY ambacho kwa Sasa ni miongoni mwa vyama 3 ambavyo vinaunda Serikali ya Mseto nchini Ujerumani. Chama hicho kiliweka mashariti ya kufunga Vinu vyote vya Nyuklia vya Ujerumani ili kijiunge na Serikali ya Mseto inayoongozwa na Chama Cha SPD.

Kutokana na Kufungwa kwa zaidi ya Vinu 20 vya Nyuklia nchini Ujerumani tangu mwaka 1986, Ujerumani imejikuta ikitegemea nishati ya Gas kutoka Urusi. Hii haimaanishi kwamba Ujerumani haiwezi kujitosheleza kwenye nishati ya Majumbani bila Gas ya Urusi. Kinachokosekana ni msimamo wa kukataa Kufungwa kwa viwanda vya Nyuklia na Makaa ya Mawe Kama alivyofanya TRUMP. Trump alipoingia Madarakani alijitoa kwenye mkataba wa Paris wa mazingira ambao ulisababisha Marekani ifunge zaidi ya viwanda 60 vya Makaa ya Mawe.

MAONI YANGU.

Endapo Urusi itatumia mgogoro wa Ukraine kuwakatia Gas nchi za Ulaya,Basi naona Siasa za Ujerumani zikigeuka kuhusu Kufungwa kwa viwanda vya Nyuklia vya kufua umeme. Wanasiasa ambao watalishikia Bango suala la Ujerumani kufufua viwanda vyake vya Nyuklia na kuacha kutegemea Gas ya Urusi watapata uungwaji mkono wa Raia wa Ujerumani. MARK MY WORDS.
 
Sawa , tatizo moja tu,,, kupikia umeme ni gharama kuliko kupikia gase, gharama zikipanda hizi nchi za wenzetu inaweza kusababisha protesting hadi machafuko
 
Si amshukuru marekani Wanazi walisha fika hadi moscow na wajapani Walishaa mshuhurikia upande wa mashaliki.product hipi iyo ya juu inayo zalishwa Russia mkuu?
Hata Alexander the great, alifika hadi viunga vya moscow, na alipoteza,, Napoleon pia kama sikosei.
Screenshot_20220206-170541.jpg
 
Sawa , tatizo moja tu,,, kupikia umeme ni gharama kuliko kupikia gase, gharama zikipanda hizi nchi za wenzetu inaweza kusababisha protesting hadi machafuko
Nani aliyekudanganya?

Umeme wa Nyuklia na Maji(HEP) ndio umeme wa Bei nafuu Sana. Kilichosababisha viwanda vya Nyuklia vya kuzalisha umeme nchi Ujerumani Kufungwa ni Siasa na vyama vya Mazingira na Wala sio Bei ya Nishati. Vyama hivyo vilijipatia umashuhuri zaidi hasa baada ya ajari ya Kinu Cha FUKUSHIMA nchini Japan mwaka 2011. Vyama hivyo ni pamoja Cha chama Cha GREEN PARTY(GP) Ambacho kilipata umaarufu nchini Ujerumani baada ya ajari ya FUKUSHIMA.

Bila uwepo wa Siasa za Kutafuta Umaarufu nchini Ujerumani,sioni Ujerumani yenye Teknolojia kubwa kutegemea Urusi kwenye Nishati. Imani yangu ni kwamba,kadri Msuguano na Urusi utakavyo zidi dhidi ya nchi za Ulaya ndipo Raia wa Ujerumani na Ulaya yote watakapo muelewa TRUMP kwanini alikataa Siasa za Kutunza Mazingira huku ukiua Uchumi wa Nchi na kuifanya tegemezi kwa nchi hasimu.
 
Ukraine anataka kujiunga NATO hata leo , wakubwa wa NATO wanakwepa maana wanajua Russia ataiingiza vikosi ndani ya kiev na kupindua utawala wa vibaraka wa marekani hapo kiev,,
Russia ana vikosi sasa kuweza kuingia mji mkuu kiev ndani ya masaa machache wakitokea mpaka wa Beralus..
View attachment 2110093
Unaelewa maana ya vibaraka?
 
Nani aliyekudanganya?

Umeme wa Nyuklia na Maji(HEP) ndio umeme wa Bei nafuu Sana. Kilichosababisha viwanda vya Nyuklia vya kuzalisha umeme nchi Ujerumani Kufungwa ni Siasa na vyama vya Mazingira na Wala sio Bei ya Nishati. Vyama hivyo vilijipatia umashuhuri zaidi hasa baada ya ajari ya Kinu Cha FUKUSHIMA nchini Japan mwaka 2011. Vyama hivyo ni pamoja Cha chama Cha GREEN PARTY(GP) Ambacho kilipata umaarufu nchini Ujerumani baada ya ajari ya FUKUSHIMA.

Bila uwepo wa Siasa za Kutafuta Umaarufu nchini Ujerumani,sioni Ujerumani yenye Teknolojia kubwa kutegemea Urusi kwenye Nishati. Imani yangu ni kwamba,kadri Msuguano na Urusi utakavyo zidi dhidi ya nchi za Ulaya ndipo Raia wa Ujerumani na Ulaya yote watakapo muelewa TRUMP kwanini alikataa Siasa za Kutunza Mazingira huku ukiua Uchumi wa Nchi na kuifanya tegemezi kwa nchi hasimu.
Kuna hizi taka za nuclear,, zile hata uzifukie chini wapi, madhara yake inadumu miaka 500,hayo ni madhara makubwa katika mazingira, kansa haiwezi isha
 
Kuna hizi taka za nuclear,, zile hata uzifukie chini wapi, madhara yake inadumu miaka 500,hayo ni madhara makubwa katika mazingira, kansa haiwezi isha
Huenda ulidanganywa Sana na Akili zako zikadanganyika kweli. Kwahiyo unataka kusema Kwamba Japo Urusi ina Gasi Nyingi mbona haifungi Vinu vyake vya Nyuklia zaidi ya 60 vya kufua umeme? Kwani Uchina haijawahi hata kufunga kinu kimoja Cha Nyuklia Wala Makaa ya Mawe?

Kinachozigharimu nchi za Ulaya na hata Marekani ni Upuuzi unaoitwa Demokrasia. Yaani wameharibikiwa Mambo wengi mpaka wanakuja kupitwa na Urusi na China.

1.Kitendo Cha Trump kushindwa kwenye Uchaguzi wa Marekani mwaka 2020 na Kuingia JOE BIDEN kiliifanya Marekani ionekane kituko mbele ya Walimwengu kwamba imeshindwa Vita Afghanistan baada ya Biden kutoa Oda waondoke haraka Sana. Hili lilitafusiliwa kwamba Marekani imeshindwa na Taaliban. Upuuzi huu asingeufanya Trump.
 
Back
Top Bottom