Kwan aliyeweka jeshi mpakani mwa mwenzie ni nan? Sipo upande wa mabeberu ila Russia anazingua sana kweny Inshu za Ukraine , usalama hauwekwi vile ajifunz kwa wenzie akina Iran , USA , China na Israel , kupeleka jeshi kweny mpaka wa mwenzio huo ni ukorofi , yaan Ukraine aogope kujifanyia maamuzi ya kitaifa kisa usalama wa Russia , si ubinafsi huo ? kwan Ukraine haiko huru ? Kiufupi madai ya Russia ni ya kipuuz sana
We ndo huelewi , Russia walianza ku mobilise troops baada ya marekani kuanza kuleta askari jeshi ukraine kama washauri wa kijeshi, lengo ikiwa ni kutest kina cha maji kabla NATO haijawakubali Ukraine iwe member wa NATO,
Russia wakatoa onyo kuwa haitakubali Ukraine iwe NATO maana inahatarisha usalama wa Russia
US wakasema ukraine ni nchi huru hivyo ina haki kujiunga NATO.
Russia wakasema haiwezekani siku ikijiunga NATO ndo siku ukraine itaacha kuwa nchi, kwa maana ya kuwa Russia wataingia ukraine.
Hii kidogo ifanane na ishu ya Taiwan na china,,, china imeshaweka wazi siku Taiwan, ikijitangazia uhuru na kujiunga na Umoja wa mataifa,, china wataingia Taiwan, ndo maana hadi leo, Taiwani haitambuliwi na umoja wa mataifa kama nchi,
Ili kuepusha vita,,, so as long as Putin yuko hai ukraine haitaungwa NATO
Siku ikiungwa tu [emoji23],anza kuchimba handaki la nuclear