Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

Ni vile Russia amejidai sana baada kuona kweli akaanza kuchemka
 
Hukutotokea vita kuu ya 3 kitakachotokea ni mrussi kufundishwa adabu for once and for all .. itakuwa vita ya ulaya tuu maana wazungu hawana makoloni tena
Huo ni utani Sasa!
Russia siyo Afghanistan au Iraq! Hata Marekani na NATO wanajua hilo kuwa Russia ni habari nyingine.
Sasa kama US na NATO wamekimbia Afghanistan,kwa Russia Ndiyo wataweza?
 
Huo ni utani Sasa!
Russia siyo Afghanistan au Iraq! Hata Marekani na NATO wanajua hilo kuwa Russia ni habari nyingine.
Sasa kama US na NATO wamekimbia Afghanistan,kwa Russia Ndiyo wataweza?
afighastan hamna mtu aliyewahi ivamua akashinda zaidi ya genghis khan hata russia alivaia afighanstan chamoto alikiona
 
China hawezi pigana vita yoyote wazungu watamtumia india kumchachafya mchina huku kuna korea na japan zinapinga vurugu za china. China yeye alichofanikiwa kuishika masikio afrika
India juzi tu kanyooshwa na mchina,hawana hamu.....Japan hawezi lolote hadi bwana yake amsaidie maana alibakiza vikosi vichache sana baada ya kutandikwa vita ya 2 nae hafagilii vita kama mjerumani......korea ndo kila siku analialia kama mjapan kiduku akiwajambisha
afighastan hamna mtu aliyewahi ivamua akashinda zaidi ya genghis khan hata russia alivaia afighanstan chamoto alikiona
Vietnam je
 
afighastan hamna mtu aliyewahi ivamua akashinda zaidi ya genghis khan hata russia alivaia afighanstan chamoto alikiona
Basi kama ni hivyo ikiwa Russia na US walishindwa Afghanistan wana nguvu sawa kijeshi!
 
Russia ilikuwa kwa siku mbili haijaingiza jeshi lake kubwa yaani mainforce...waliingiza ndani ya Ukraine special forces tu..hiyo ni strategy kamambe...ila walikuwa wanapiga kwa kutumia makombora ya mbali...Jana au Leo ndiyo main force inaingia Kiev na miji mingine yote...hapo shughuli ndipo itaisha
 
Ukraine wametosa sigh za mitaa Unaambiwa wana jeshi wanawauliza ukraine njia Hii ya wapi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…