Na wanaume wengi hawapendi wanawake watulivu na wastaarabu, maana ndio huwatesa sana na wanaume wanapenda wanawake kichwa ngumu.
Pia wanaume wengi hufikiria ukiwa mstaarabu kwake imekufa na kuoza na huna options kumbe huwa ni kujidaganya tu, wengine wameumbwa na moyo wa upendo kwa yoyote yule Sasa wao hujiona wao ndio wao.
Kwa umri huu niliofika swala la kupenda mtu nimeshavuka hyo stage mtu anaye care nitamjali, anaye ni ignore na mimi na mu ignore kwa kweli, Ile kufa kuoza hapana, maana furaha najipa mwenyewe sitegemei kwa mtu au vitu